Shamba linauzwa Bagamoyo, lina hati!

Shamba linauzwa Bagamoyo, lina hati!

Shamba bado lipo wakuu, nauza heka zote mbili kwa pamoja. Ukihitaji heka moja TU Bei yake ni Milioni 1.5 haipungui.

Karibuni
 
Mimi ninazo ekari hamsini Kijiji cha Msinune, ukitoka kiwangwa -barabara ya msata Bagamoyo Ni km 6 tu, sehemu ya Shamba kama ekari 15 ina miti kiasi ya Teak , machungwa Na miembe,Bei Kwa eneo lenye Miti ni 2,500,000 Kwa ekari Na ambalo Galina miti Ni 1,500,000 kwa ekari.
 
Umbali Gani toka barabara ya lami mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom