Bintiwangara
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 551
- 287
tayari uzwa
maji yapo kwa yule anayetaka kuishi na kufanya shughuri za ufugazi. umeme upo sema inabidi uongeze nguzo mbili ili ufike kwako. watu wengi wanajenga maeneo hayo so munaweza kuchanga kwa ajili ya kununua nguzoMaji na umeme vipo?
Shamba la Heka 2.5 linauzwa kiromo bagamoyo . tsh. 25 mill. lote. lipo upande wa kushoto ukielekea bagamoyo. lipo km.4 kutoka barabara kuu na shule ya msngi kiromo bagamoyo.
Kama unalihitaji unaweza ukani pm.
maji yapo kwa yule anayetaka kuishi na kufanya shughuri za ufugazi. umeme upo sema inabidi uongeze nguzo mbili ili ufike kwako. watu wengi wanajenga maeneo hayo so munaweza kuchanga kwa ajili ya kununua nguzo
kupimwa bado, lakini hakuna mradi wowote wa serikali maemeo hayo. kama upo tayari njoo ulione shamba ,ukiwa interested tuanaenda ardhi bale bagamoyo mjini then unafanya uhakiki. ukisha kubariana na mazingira tunamalizanaVipi pamepimwa?
kwangu kuhusu hilo eneo usiwe na wasiwasi kabisa . taratibu zote zitafuatwa kama inavyotakiwa mpaka ofisi za ardhi bagamoyo tutaenda kuhakikiJana imekuja thread ya utapeli wa mauzo ya viwanja na mashamba bagamoyo,
Mkuu nisamehe siharibu biashara yako
Bagamoyo si ndio huko nasikia unapoauziwa shamba au kiwanja unakutana na mwenye shamba hewa,mwenyekiti wa mtaa hewa,majirani hewa,watoto wa kuchezacheza kwa jirani hewa,mlinzi hewa,kuku hewa na hati za kumiliki hewa???
kupimwa bado, lakini hakuna mradi wowote wa serikali maemeo hayo. kama upo tayari njoo ulione shamba ,ukiwa interested tuanaenda ardhi bale bagamoyo mjini then unafanya uhakiki. ukisha kubariana na mazingira tunamalizana
maji ni ya kisima, siyo bomba lakini mita 100 kutoka shambani ni Maji ya bomba .shambani hakuna zao lolote sema kuna kipande kuna mtu aliniomba alime mahindi.kama robo heka fluni hivi. hakuna banda lolote zaidi ya mipaka.Jazia nyama kidogo, hilo shamba lina nini ndani yake, maana tayari umesema umeme upo karibu, je maji ni ya bomba au dimbwi? Je kuna banda, je limepimwa? Je lina mazao?