Shamba linauzwa morogoro njia ya dodoma dakawa.lipo m 200 toka barabara iendayo dodoma.ni eka 1000.lina mbuzi na kondoo 180 'n'gombe 150 nyumba moja umeme umevutwa mpk shambani.kisima kimoja mifugo yote inauza pamoja na shambaa.lina title ded.kwa maelekezo zaidi piga 0655000442