Shamba linauza maeneo ya Horohoro Tanga

Shamba linauza maeneo ya Horohoro Tanga

Tindo

Platinum Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
71,140
Reaction score
127,093
Ninauza shamba maeneo ya horohoro, ni kolimita sita kabla hujafikana mpakani horohoro kwenda Mombasa. Shamba ni hekari 13, lina lambo kubwa la maji lenye kuweza kuhifadhi maji msimu mpaka msimu. Kuna nyumba ya matofali ya kuchoma yenye room 3 ambapo room 2 ni za kulala. Kuna jiko na stoo ya nje. Kuna banda kubwa lenye vyumba vitatu ambapo kila chumba kinaweza kuweka kuku 200. Jumla banda zima unaweza kufuga kuku 600. Shamba lenyewe liko chini ya mita mia tatu toka barabara kubwa ya Tanga-mombasa. Ukiwa shambani unaona magari yakiwa yanapita barabara kubwa. kwa ujumla linafikika kirahisi sana. Shamba ni safi wala halihitaji kusafisha ni kuingiza tu traktor kwa ajili ya kulima kwani nimeshalilima kwa kipindi cha miaka miwili sasa. Ninafuga kuku chotara wasiopungua 120. Kwa anayetaka anaweza kunipm kwa maelezo zaidi.
 
Bandika bei mkuu mambo ya pm sio
 
Kwanini unauza mkuu wakati tunaambiwa Mali tutazipata shambani

Mkuu namiliki mashamba sehemu nyingine, niliyekuwa nimempa kazi ya kusimamia kafariki dunia. Nashindwa kusimamia yote kwa ufanisi. Kuna changamoto kubwa sana kusimamia ukiwa mbali (usimamizi wa remote)
 
Bandika bei mkuu mambo ya pm sio

Mkuu biashara nzuri ni mpaka uone hilo shamba na uridhike na ubora na sifa za shamba hilo. Usiwe na shaka kama una nia, ukifika malazi na chakula utayapata hapo hapo shambani kwa muda utakao kaa hapo shambani. Hivyo utaingia gharama ya nauli tu. Kama unatoka Dar asubuhi saa 12 mpaka saa 4 asubuhi utakuwa umefika shambani iwapo utapakia mabasi ya Dar- Mombasa.
 
Ninauza shamba maeneo ya horohoro, ni kolimita sita kabla hujafikana mpakani horohoro kwenda Mombasa. Shamba ni hekari 13, lina lambo kubwa la maji lenye kuweza kuhifadhi maji msimu mpaka msimu. Kuna nyumba ya matofali ya kuchoma yenye room 3 ambapo room 2 ni za kulala. Kuna jiko na stoo ya nje. Kuna banda kubwa lenye vyumba vitatu ambapo kila chumba kinaweza kuweka kuku 200. Jumla banda zima unaweza kufuga kuku 600. Shamba lenyewe liko chini ya mita mia tatu toka barabara kubwa ya Tanga-mombasa. Ukiwa shambani unaona magari yakiwa yanapita barabara kubwa. kwa ujumla linafikika kirahisi sana. Shamba ni safi wala halihitaji kusafisha ni kuingiza tu traktor kwa ajili ya kulima kwani nimeshalilima kwa kipindi cha miaka miwili sasa. Ninafuga kuku chotara wasiopungua 120. Kwa anayetaka anaweza kunipm kwa maelezo zaidi.
Km sita kabla ujafika horohoro... kwa mana hio hio duga maforoni,
 
Naam, ww unaonekana unapafahamu maeneo hayo vizuri sana. lakini ni mbele kidogo ya duga maforoni. ni hapo njia panda ya mwakijembe, uliza shambani kwa mchaga. ukiwa barabara kuu utaona nyumba yenye bati maarufu kwa jina la msouth
 
Uwa napita sana njia hio nikielekea Mombasa, nishalijua hilo shamba ni zuri sana
 
Ni zao gani linakubali hapo?

tikit, bamia zinakubali mno. huwa ninapanda pilipili zote nazo zinafanya vizuri pia. niliotesha migomba kama 150 lakini inazidiwa sana na jua, ila nakula ndizi japo haziwi nono. nimenza kuotesha papai highbreed, zinafanya vizuri kwa sana. kwa ujumla ni rahisi sana kufanya biashara ukiwa hapo.
 
Back
Top Bottom