Shamba lenye ukubwa wa ekari tatu linauzwa.

Mrbwire

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
200
51
Shamba lenye ukubwa wa ekari tatu linauzwa. Shamba liko kigamboni (kati ya km 17 - 18 baada ya kuvuka). Ni nje ya eneo lililotengwa kwa ajili ya uendelezaje wa mji wa kigamboni.

Ni eneo zuri kwa ajili ya makazi, ufugaji godown na pia shule. Bei ni Tsh. Milioni nane (8 Mil.)

Pia kuna viwanja viwili vyenye ukubwa wa robo ekari. Kila kimoja ni Tsh. 2 Mil.

Maeneo yote yanafikika kwa gari.
 
Last edited:
Duh Bwire naona umekuwa dalali vp nikikamata kichwa na mm nitaweza kupoozwa au?
 
Duh Bwire naona umekuwa dalali vp nikikamata kichwa na mm nitaweza kupoozwa au?

Si unajua ukiwa mtu wa watu Fidel? wanakuja wengi wakiwa na matatizo mbalimbali na pale unapokwama kabisa unabaki kutoa ushauri tuu. Kwa hawa ndugu zangu kinachoweza kuwatoa mara nyingi its what they have on hands. They are just selling their assets baada ya ku- run out of options..
 
Poa nashukuru mkuu kwa kazi nzuri ya kujitolea kama hivi.
 
Eneo ni lile kuelekea kibada au ni barabara ya moja kwa moja sambamba na beach?
 
Eneo ni lile kuelekea kibada au ni barabara ya moja kwa moja sambamba na beach?

Ni lile la kuelekea kibada, ukifika kibada unaenda kushoto ... Unavuka kidogo walikojenga kina Joti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom