Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,053
- 15,520
Yapo
Mi nimezikwa shamba la wafu hapa mbeya
Upepo wa hapa ni mzuri hasa nyakati za usiku
Yapo
Mi nimezikwa shamba la wafu hapa mbeya
Upepo wa hapa ni mzuri hasa nyakati za usiku
ulinzi? unamlinda nani?yakawekwa Facilities zote muhimu kama Uzio kwa ajili ya ulinzi
Hapana huku mbalizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wapi ?? Hapo Mafiat??
Karibu sana chief[emoji1787][emoji1787][emoji23]
ulinzi? unamlinda nani?
Hapana huku mbalizi
Unajua nini maana ya mtu kusema cku akifa azikwe nyumbani?
Hua nakuja mara moja moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Karibu hapa Ifisi
@mshana jrMzee wa mada za kifo, mauti na kuzimu hajafika hapa..?
Sio suala la kuzikwa kwa heshima, ni uzikwe wapi? Itafikia wakati, kila ardhi insyochimbwa kidogo kuna mabaki ya mawili wa binadamu. Kuna umuhimu wa kutenga eneo la mazishi.Kufa ni kufa na kuzikwa ni kuzikwa ayo mambo ya kusema ooohh nizikwe kwa heshima umeshakufa iyo heshima ainamsaada ndio maana wenzetu awakaagi na maiti.
Unajua nini maana ya mtu kusema cku akifa azikwe nyumbani?
Umezikwa na viatu vyako au viatu vyako ndo vimekuwa Viatu vya Samaki?Yapo
Mi nimezikwa shamba la wafu hapa mbeya
Upepo wa hapa ni mzuri hasa nyakati za usiku
Karibuni napenda wageni !