Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Lukuvi amesema, shamba hilo lipo kwenye hatua ya kufutwa hati yake na kusisitiza, serikali haitavumilia watu wanaomiliki mashamba bila kuyafanyia kazi.
“Shamba la Sumaye hati yake iko katika hatua za kufutiwa,” amesema Lukuvi na kusisitiza “serikali haitofumbia macho watu wanaomiliki ardhi pia mashamba ambayo hawayaendelezi.”
Tayari Rehema Mwinuka, Ofisa Ardhi wa wilaya hiyo ameandika barua ya notisi kuelekea kutekeleza kutwaa eneo hilo la Sumaye.
Hata hivyo, Lukuvi amewataka watu wanaomiliki ardhi kwa kuwa na karatasi za ofa halali, wazibadilishie ili wapewe hati halali.
Amesema, kuwa kinachoonekana kwa sasa ni kuwa, asilimia 60 ya migogoro ya ardhi, chanzo chake ni karatasi za ofa za Halmashauri jiji na manispaa na kwamba, wametoa miezi mitatu kwa wenye karatasi za ofa kubadilishwa.
Chanzo Mwanahalisi

Kama hayaendelezi tu, lkn!Naunga mkono hoja Tuendelee mpaka kwa Ben Yale mashamba ya miwa mtibwa na kagera
Magufuli alishaahidi kuyachukua haya mashamba hata kabla ya sumaye hajaamia upinzani->kisa yupo upinzani/ poor poor poor/ don't do that make a compromise first followed with warning letters on developing the area.//
Tatizo yeye mwenyewe hataki kupumnzika,Wamwache mzee wa watu apumzike....
Nao wanajipinda kwelikweli hapa jukwaani kuwateteaMr. Zero. The most corrupt and useless PM ever. Halafu naye anakimbilia CHADEMA akidhani kuwa atapata uraisi au kurudia uwaziri mkuu wake. Utafikiri CHADEMA ni chaka la kuficha na hatimaye kutakatisha mafisadi waliokubuhu. Sad!
Bado Lowasa mwaka huu lazima tupoteane kulaleki[emoji23]Hivi serikali imeliona Shamba la Sumaye tu kule Mabwepande? Mbona kuna watu wana maeneo makubwa wamepima viwanja havijaendelezwa ni mapori wanasubiri kuviuza lakini hawanyang'anywi Kwa kuwa wako CCM?