Wekeza haraka shamba la miti

Medrany

Member
Mar 30, 2017
8
2
Wakuu shamba la miti , aina ya pines, Ukubwa Eka 2 miti 900 linauzwa.
Unafuga miti unavuna kwa mkataba miaka (5) tangu mwaka huu 2017.Ardhi unairudisha kwa mmiliki asilia
Miti ilipandwa 2012 hivyo ina miaka 5 mpk feb 2017.
Ipo eneo salama, lisilofikika na moto huku likizungukwa na mashamba ya mahindi.
Shamba lipo kata ya Kifanya, Mkoani Njombe
Bei ni maelewano
Aliyeserious tuwasiliane.
 
Back
Top Bottom