JAMII BORA
Member
- Apr 18, 2017
- 78
- 58
NINI: Shamba la ukubwa wa hekari 5 linauzwa
WAPI: Hekari hizi zipo kijiji cha maji chumvi kilichopo kilomita 20 toka msamvu kuelekea Dodoma, na kilomita 8 toka barabara kuu iendayo Dodoma.Kuna bara bara ya vumbi kuelekea eneo hili na kiwanda cha nyama,pia kuna visima kadhaa vya maji kijijini hapa.
LIKOJE: hekari 5 hizi mchanganyiko wa kichanga na mfinyazi.ni ardhi haijatumika kabisa(virgin land), ila majirani wanalima alizeti na mahindi.
OFA: Kwa atakayenunua hekari 5 hadi 10, anapata material ya kuanzia kibanda ajili ya makazi.
BEI: Kila hekari ni laki sita tu.
MAWASILIANO: 0713-039875