Shamba la ekari 184 linauzwa Ikwiriri

Shamba la ekari 184 linauzwa Ikwiriri

Dupe

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
1,668
Reaction score
813
SHAMBA LINAUZWA
SHAMBA LINAMILIKIWA KISHERIA

UKUBWA: EKARI 184
MAHALI: IKWIRIRI RUFIJI

SIFA ZA SHAMBA
►UDONGO WENYE RUTUBA
►BARABARA MPAKA SHAMBANI
►KARIBU NA UMEME
►LINAFAA KWA KILIMO, UFUGAJI, KIWANDA, SHULE, N.K

BEI: MAPATANO

MAWASILIANO
+255 788 675 500
saidiisma@yahoo.com
 
Duu! sisi wabongo ni wagumu kuelewa.Kila siku humu ndani watu wanaeleza namana ya kuweka matangazo yaliyo kamilika vikiwepo vitu muhimu. kama:-
-Mahari ilipo mali husika
-Bei ya hiyo bidhàa
-Umiliki wa hiyo bidha i.e Hati
-Mawasiliano ya muuzaji
Na mambo mengine ya muhimu kutegeana na bidhaa husika.
Tubadilike jamani sio kila kitu cha kusoma darasani hata hapa ni shule tosha
 
Inawezekana watangazaji wengi ni Madalali...wanashndwa kuweka taarifa muhimu za matangazo yao
 
Duu! sisi wabongo ni wagumu kuelewa.Kila siku humu ndani watu wanaeleza namana ya kuweka matangazo yaliyo kamilika vikiwepo vitu muhimu. kama:-
-Mahari ilipo mali husika
-Bei ya hiyo bidhàa
-Umiliki wa hiyo bidha i.e Hati
-Mawasiliano ya muuzaji
Na mambo mengine ya muhimu kutegeana na bidhaa husika.
Tubadilike jamani sio kila kitu cha kusoma darasani hata hapa ni shule tosha
Ukiona hivyo ujue muuzaji ameweka cha juu kikubwa sana. Sasa akikiweka wazi mwenye mali atashtuka
 
Mbona muna visababu visivyokiwa na maana? Mubadirike bas kama namba mumewekewa na E- mail hipo si upige kwa hiyo namba ujue bei? wasio wanunuz ndio munaongoza kwa maneno ya shombo lakin wanunuzi wala hawataki shida uchukua namba na kupiga na mwisho wa siku hufika sehemu husika na kifanya maamuzi sahihi, cos ata nikiweka bei hapo haitakusaidia kitu sababu mwisho wa siku lazima uchukue hayo mawasiliano uombee na lazima uje kuliona au nikikuambia bei utalipa tu hela pasi kuonana nami au kuona shamba?
 
Kwani ukiweka bei hapa utapungua nini? Au kila mtu atapewa bei yake kulingana na atakavyojitambulisha hivyo hakina bei moja?

Iko hivi,
Mfano mimi niko tayari kulipia hilo shamba kuanzia 3mil-5mil, zaidi ya hapo siwezi.
Yuko mwingine shamba hilohilo mpaka 8mil anaweza kulinunua
Yupo mwingine hata ukimtajia 15mil kwake sio shida kwa shamba hilohilo.

Unapoweka bei yako ya kuanzia nakua najua kabisa kua tunaweza kufanya biashara au sio size yangu hivyo sipotezi muda na vocha kukupigia.

Lakini nikuulize. Ukubwa wa Shamba umetaja, mahali lilipo umetaja, mbona bei umeshindwa kutaja japo ya kuanzia??
 
Mkuu unachoongea sawa lakin hakina ulazima kufanya hivo na ndio maana kuna mawasiliano hapo kuwa kama unaona ilo jambo linakifaa unapiga simu au unatuma mail tunaongea bas na tunafika muhafakha kwa hilo basi.

Unakuta tangazo limeandikwa kwa ukuta nyumba 1, NYUMBA INAIUZWA MIL 6…!!!! bei ni siri kati ya mnunuzi na muuza ila sio kufanya matangazo ya bei hiyo haina mantiki
 
Ok Mkuu,
Ila naona kama kuna wateja utawakosa ambao watadhani kua wakikupigia wataambiwa bei kubwa kumbe pengine bei yako kubwa kihivyo.
 
Huyu dalali tu mwenye shamba hawezi ogopa weka bei.
Weka bei ili upigiwe na walengwa tu.Mtu mwingine ana elfu hamsini naye atakupigia huoni ni usumbufu huo.
 
Jf hakuna wanunuzi babu hapa wengi mastudenti
 
Unayenunua uwe makini kuliendeleza hima wasije wakakusumaye!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom