Shamba Heka 30 Kwa mil 5 tu Masasi Mtwara

Shamba Heka 30 Kwa mil 5 tu Masasi Mtwara

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
765
Reaction score
490
Habari, Shamba lenye ukubwa wa heka 30 lenye full document linauzwa katika mkoa wa mtwara wilaya ya masasi katika kijiji cha nawaje mtaa wa chimbo, shamba limepakana na mto pembeni unaoitwa mto mbangara , ni kilometer 10 kutoka barabara kuu. kwa maelezo zaidi na mahitaji nione kwa namba ya simu 0712212220.
 
ufuta, karanga, mbaazi, choroko, mpunga, mahindi kwa miti mikorosho miembe na hata miti ya mbao kama mtiki na mpodo
 
Ni shamba pori la Kufyeka/Kusafisha au lilishawahi kulimwa??
 
limewahi kusafishwa na kukatwa miti na kulimwa mara moja
 
jamani mnanipigia sanna simu kuniuliza maswali amabyo nimeshajibu hapa hemu someni vzr kwanza ndio mnipigie
 
jamani mnanipigia sanna simu kuniuliza maswali amabyo nimeshajibu hapa hemu someni vzr kwanza ndio mnipigie
 
Back
Top Bottom