Shakira Amfariji mchezi wa Barcelona

boma2000

JF-Expert Member
Oct 18, 2009
3,280
310
610x-1148.jpg

Mwimbaji maarufu dunia Shakira akimpa pole mpenzi wake mpya Gerard Pique ambaye ni mchezaji wa Barcelona baada ya Barcelona kufungwa na Real Madrid ambayo ilitwaa kombe la Copa del Rey baada ya miaka 18
 
kumbe ndo anapopumzika hapa kiungo mshambuliaji....duuuuh kweli hela zinafuata hela....
 
we unafikiri kuchukua world cup mchezo ndo walipokutana enzi za wakawaka afrika..
 
Rumours ni kwamba jamaa ni shoga, huenda hiyo ni cover-up tu kuficha niniliu..how come a-date hicho kibibi 10 years difference..hata hivo mwisho wa siku kila mtu aachwe tu a-do him or her.
 
Wenzetu age doesn't matter think of Mariah Carey na Nick Canon nao ni 10 years difference ila maisha bado yanakwenda tu.
 
Of course hata mimi if i'm looking to get laid in regular basis, ishu ya age inakuja baada ya kiu kuniisha..ni hayo tu mwana.
 
we unafikiri kuchukua world cup mchezo ndo walipokutana enzi za wakawaka afrika..

Kweli walianzia south afrika sasa penzi limenoga shakira anatoka marekani kwenda kuangalia jamaa anavyocheza uwanjani
 
Madrid walikuwa wanapiga nyimbo za shakira kabla ya mechi, siku hizi wameacha
 
610x-1148.jpg

Mwimbaji maarufu dunia Shakira akimpa pole mpenzi wake mpya Gerard Pique ambaye ni mchezaji wa Barcelona baada ya Barcelona kufungwa na Real Madrid ambayo ilitwaa kombe la Copa del Rey baada ya miaka 18

Pique angalia nyonga hizo utashindwa kupiga vichwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom