Shake well before use

wined

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2015
Posts
2,294
Reaction score
2,785
Hakikisha unaitikisa kabla ya kuitumia. Just shake it! Waza kwanini ukienda kununua kitu mara nyingi utakishika shika na kukigeuza ndipo uamue kipi ununue.

Eti utazunguka bucha zote lakini nyama ni ile ile! Hakuna ukweli wowote hapa. Kijana kabla hujaoa hakikisha umechagua kilicho chema cha kukizi matamanio yako. Ukienda kichwa kichwa utakutana na mambo ya ajabu na ndipo ule msemo wa kupasha viporo utaanza kufanya kazi kwako.

Hayo yote 9, kumi ni kwamba heshima ya kijana wa kiume ni pesa. Kadri unavyokuwa na pesa ndivyo kadri ya mke wa ndoto zako unavyomkaribia au kuwa nae.

Endelea kutafuta pesa, usichoke!

Neno ndoa ni ndoano na maneno yasiyo na maana ya akina Mr Liverpool utayaona hayana maana.

Natoka!
 
Heshima ya ndoa ni tendo la ndoa kwanza pesa ndo zinafuatia
 
Uwe na pesa, ugonge vizuri na bado unaweza ibiwa, binaadam ni viumbe complex haswa kwenye mapenzi.

Mtu anaweza cheat kwa kitu kidogo tu, ni kweli unamgegeda vizuri, unampa pesa, ila ofisini kuna jamaa ana tabasamu zuri zaidi yako, anamjali saana, vijizawadi zawadi, waende lunch, au mrefu na sifa yoyote unaweza weka, anaweza kukuchiti vizuri tu 😂
 
Noma sana!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Haha...!
Depal mdogo wangu, enwei sijui hata kwanini nimekutag..!!
 
Ma Dr.love wa mchongo hamchelewi kuomba ushauri mkipigwa matukioo huko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…