SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Viongozi kama hawa ndo wanahitajika katika kipindi hiki ambacho dunia inajitahidi kufanya kilajambo kwakutumia akili zaidi kuliko nguvu. Pia nilitamani kuona nchi yetu inakua mfano Afrika mashaliki kwakufika mahala tukafanya chaguzi nahata wapinzani wakishinda matokeo yanatangazwa bila fujo yani nchi inakua yakistaalabu. Machuki yanini tunajenja taifaletu wrote kwanini tugombanie fito, kamakweli tumeruhusu uchaguzi ufanyike atangazwe aliechaguliwa wengine wakaendelee nashughuli zao, kulazimisha ushindi kwanini?Uadui, uhasama na chuki viliasisiwa na mwendazake, ndio maana vijana kaliba ya Sabaya walikuwa wanaweza mfanyia jambo lolote mtu ambaye wanahisi sio mfuasi wa CCM kwa kuwa tu walikuwa na kinga nyuma yao
CCM- CHADEMA = ACT Wazalendo .Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa itikadi na uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akizungumza na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe walipokutana Kibondo mjini Leo tarehe 15 Mei 2021.
Shaka amesema inawezekana kufanya siasa safi bila kujenga uadui, uhasama, chuki au kubomoa misingi na tunu za Taifa letu. Amesisitiza anatamani kuona upinzani imara unaojenga umoja wa Taifa, unaohimiza amani na kuwa chachu ya mawazo mbadala yenye tija kwa nchi yetu. Ameshauri upinzani kuonesha ukomavu kwa kufanya siasa za maendeleo na kuepukana na siasa zinazojenga taharuki na kupinga kila kinachofanywa na serikali iliyopo madarakani.
Mwalimu Nyerere alituasa ili tuendelee tunahitaji SIASA SAFI.
#TaifaLetu #KaziIendelee #AminiaSamia
View attachment 1785773
Una akili sana na maono ya kwenda.WAKATI HUU SI WAKATI ULE ULIOPITA JE WAZEE WA TAIFA HILI HAMUONI? WATU WAMEELIMIKA SANA, TEHAMA INAWEKA VITU VYA GIZA MWANGANI. FURSA 10 ZINATAFUTWA NA WATU 10000 AU ZAIDI! JE HAIPASWI HAO 10 WALIOPATA HIZO FURSA 10 WAZIPATE KWA HAKI NA UWAZI KWA SIFA ZAO KUWASHINDA HAO 9990. MFANO WATIA NIA URAISI WAWEZA FIKA 20 AU ZAIDI. SASA FURSA NI 1. HUYO APATAYE KUWASHINDA WENGINE BASI YAPASA ASHINDE KIHALALI NA HAKI KWA KUONEKANA WAZI KWA WOTE VINGINEVYO TOFAUTI NA HAPO NI HATARI SANA.
Likitajwa jiwe napatwa na hasira Sana.Uadui, uhasama na chuki viliasisiwa na mwendazake, ndio maana vijana kaliba ya Sabaya walikuwa wanaweza mfanyia jambo lolote mtu ambaye wanahisi sio mfuasi wa CCM kwa kuwa tu walikuwa na kinga nyuma yao
Safi sanaKatibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa itikadi na uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akizungumza na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe walipokutana Kibondo mjini Leo tarehe 15 Mei 2021.