Usipokua na hela, kupendwa usahau
Mapenzi yatakukera, utaambulia dharau
Kisa huna mshahara, mapenzi yanakuwa jau
Ukiwa mzuri wa sura, hapo kidogo angalau
Sie wenye sura kama chura, tuile tu pilau
Usijidharau mkuu jiamini, vile vile chukulia mapenzi kwako yawe ya ziada. Pambana mkuu upate hela, lakini tafuta pesa kwa manufaa yako usitafute pesa ili upendwe over.