SHAIRI LA KISHETANI

SHAIRI LA KISHETANI

FM facts

Member
Joined
Mar 16, 2019
Posts
45
Reaction score
88
Tomino’s Hell ni Shairi Ambalo Unaambiwa Hutakiwi Kusoma Kwa Sauti!, Soma Kimya Kimya na inaelezwa Ukisoma Kwa Sauti Shairi hili Kuna Mawili, Either Utakufa au Utapambana na Mauzauza Katika Maisha Yako!. .
.
Shairi Hili Liliandikwa Mwaka 1919 na Mwandishi "Saijou Yaso" Raia wa Japan na Wakati Anaandika Shairi hili Alikua na Umri wa Miaka 26 tuu, Inaelezwa pia Mtu Huyu Hakuwa Mtu wa Kawaida. .
.
'Saijou Yaso' Alikua Mwandishi wa Mashairi Kutoka Nchini JAPAN, Alizaliwa January 15, 1892 Huko Tokyo Japan na Kufariki August 12, 1970.

Shairi Hili Linamhusu Mtu Mmoja Anaeitwa 'Tomino' na Tomino Alikua Anasafiri Kwenda KUZIMU!. Mwaka 1974 Muongozaji wa Movie 'Terayama Shuji' Alitaka Kutengenezea Movie Shairi hili, Ajabu ni Kwamba ALIKUFA!. Movie yake Iliitwa (To Die in the Countryside). .
.
Je Kwanini Shairi Hili Linatisha? Kwanini Lazima Usome Kimya Kimya? na Je Huyu TOMINO ni Nani?

Kuna Story Nyingi sana Kuhusu Mtu Huyu 'Tomino' Aliyeandikwa Katika Shairi Hili Lakini Samahani sana Nimeshindwa Kuendelea Kuiandika #Fact Hii Kwasababu Nimeanza Kuhisi Hali Tofauti Kama Vile Mwili Kusisimka!!!!. .
.
Sikushauri Kabisa Ulitafute Shairi Hili na Hata Ukikutana Nalo Basu Ujue ni Shairi la Aina Gani, na Nimeandika Hapa Ili Ukae Ukijua Sio Kila Kitu ni Cha Kusoma tuu! Usije Ukakutana Nalo Siku Moja Ikawa Hukujua!!. .
.
Written By @fm_facts

Sponsored By @getshoes_Kariakoo HAWA ni Wauzaji wa SENDO mbalimbali Makini kabisa, Wapo Kariakoo Karibu na Msimbazi Police Zinakopaki Noah za Kimara, Mbezi Gorofa la Njano lenye Flame za kijani, Mikoani Mikoani Wanatuma Pia.
WAPIGIE SASAHIVI #0653800843

#tuvituvitu
#JeWajua
#TominoPoem #Japan
#Chombokwahewa
#IloveFacts
#FMfacts
#getshoes_kariakoo
fm_facts-20190503-0001.jpeg
 
Tomino’s Hell
1.Elder sister vomits blood,
younger sister’s breathing fire
while sweet little Tomino
just spits up the jewels

2.All alone does Tomino
go falling into that hell,
a hell of utter darkness,
without even flowers.
Is Tomino’s big sister
the one who whips him?
The purpose of the scourging
hangs dark in his mind.

3.Lashing and thrashing him, ah!
But never quite shattering.
One sure path to Avici,

4.the eternal hell.
Into that blackest of hells
guide him now, I pray—
to the golden sheep,
to the nightingale.
How much did he put
in that leather pouch
to prepare for his trek to
the eternal hell?
Spring is coming
to the valley, to the wood,
to the spiraling chasms
of the blackest hell.
The nightingale in her cage,
the sheep aboard the wagon,
and tears well up in the eyes
of sweet little Tomino.

5.Sing, o nightingale,
in the vast, misty forest—
he screams he only misses
his little sister.
His wailing desperation
echoes throughout hell—
a fox peony
opens its golden petals.
Down past the seven mountains
and seven rivers of hell—
the solitary journey
of sweet little Tomino.
If in this hell they be found,
may they then come to me, please,
those sharp spikes of punishment
from Needle Mountain.

6.Not just on some empty whim
Is flesh pierced with blood-red pins:
they serve as hellish signposts
for sweet little Tomino.
Mtandaoni Lipoo??
 
Tomino’s Hell
1.Elder sister vomits blood,
younger sister’s breathing fire
while sweet little Tomino
just spits up the jewels

2.All alone does Tomino
go falling into that hell,
a hell of utter darkness,
without even flowers.
Is Tomino’s big sister
the one who whips him?
The purpose of the scourging
hangs dark in his mind.

3.Lashing and thrashing him, ah!
But never quite shattering.
One sure path to Avici,

4.the eternal hell.
Into that blackest of hells
guide him now, I pray—
to the golden sheep,
to the nightingale.
How much did he put
in that leather pouch
to prepare for his trek to
the eternal hell?
Spring is coming
to the valley, to the wood,
to the spiraling chasms
of the blackest hell.
The nightingale in her cage,
the sheep aboard the wagon,
and tears well up in the eyes
of sweet little Tomino.

5.Sing, o nightingale,
in the vast, misty forest—
he screams he only misses
his little sister.
His wailing desperation
echoes throughout hell—
a fox peony
opens its golden petals.
Down past the seven mountains
and seven rivers of hell—
the solitary journey
of sweet little Tomino.
If in this hell they be found,
may they then come to me, please,
those sharp spikes of punishment
from Needle Mountain.

6.Not just on some empty whim
Is flesh pierced with blood-red pins:
they serve as hellish signposts
for sweet little Tomino.
Nilisome Kimya Kimya Sio?
 
Back
Top Bottom