Shairi la beti tatu kuomboleza kifo cha Shaaban Robert

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,921
30,265
BETI TATU ZA JULIUS NYERERE KUOMBOLEZA KIFO CHA SHAABAN ROBERT 1962

Leo asubuhi katika pitapita yangu Maktaba nimekutana na kitabu cha Prof. George Mhina, ''Mwalimu Nyerere na Tanzania," (1980).

Katika kitabu hiki nimekuta shairi, ''Kilio Cha Shaaban Robert,'' lenye beti tatu tu aliloandika Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiomboleza kifo cha Shaaban Robert.

Shairi hili lilichapwa katika gazeti la Ngurumo la tarehe 28 Juni, 1962.

1705901086494.png

Shaaban Robert

1705900921036.png

1705901972830.png
 
Nyerere apewe maua yake kuwalea hawa waswahili walalamikaji wa kila jambo sio issue ndogo
 
Back
Top Bottom