Shahidi wa leo Askari namba H4323

Shahidi wa leo Askari namba H4323

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
5,260
Reaction score
12,867
Yaani mawakili wana mbwembwe wamempoteza dira shahidi sijui kama alielewa tena, baada ya ku nyanganywa kalamu yake na dairy pamoja na simu,: jamani haya yalimanisha nini, tuelezeeni haya maneno kwa upaana.

Shahidi sio competent and letter lacked competence, with no pre-liquisting tendering,
The document was not authenticate lacked unique features that is a mojor criteria of authotification, the letter had no factual expedition it was legal but not ego. Maamuzi yalikua critism and not permissive, huyu kibatali atafanya mashahidi kugoma kurudi akiendelea na hizo law jargons zake,
 
Elezea kama hivyo vitu alivyonyang'anywa vinaruhusiwa mahakamani. Usihirojoke na magongo yenu ya kutunga
 
ego: ubora, thamani, maarufu, wa mfano, hizi zinaweza kuwa tafsiri za karibu kulingana na sentenso.
 
Elezea kama hivyo vitu alivyonyang'anywa vinaruhusiwa mahakamani. Usihirojoke na magongo yenu ya kutunga
Wakati kesi inaanza kabla ya yeye kupanda kizimbani Profesa Jay alimuona shahidi yuko bize akifanya homuweki, Profesa Jay ikabidi amtonye Kibatala kuwa mjamaa ana dayari na yuko anamalizia tusheni, naye akasema nitampandia hukohuko kizimbani baada ya kiapo ili mmiliki wa shule, hedimasta Sirro na walimu wake wajue.
 
Hili taifa sasa hivi lina vijana vya ovyooo. Ni mihemko tu kea kwenda mbele
 
Mboe ana dhambi kubwa sana Mbele ya Mungu na kwa watanzania wote.

1. miaka yote ya uenyekiti wake alikuwa akiwatengeneza vijana watukutu wenye tabia za kihalifu, kama vile; ujambazi, uzaji madawa, matusi, ukorofi wa kuto kutii sheria, kuto kuheshimu mamlaka n.k.

angalia alivyo wapotezea maisha kina Lingwenya, mohamedi, Halfani, Adam....huyo mdio mboe na mipango yake miovu.
kama isinge kuwa njama ovu za mboe leo hii hawa jamaa wasingekuwa wanateseka mahabusu mpaka leo....ila yote hayo ni tabia za kihalifu za mboe.

Pia ukiwachunguza baadhi ya wafuasi wa mboe utagundua kuwa hawana kabisa chembe ya uzalendo kwa nchi yao na hili ni kutokana na jinsi Mboe alivyo watengeneza kwa kuwapandikizia tabia za kihalifu kwa nchi yao.
hii ni dhambi kubwa aliyo ifanya mwenyekiti mboe kwa wafuasi wake.

nawashauri wafuasi wa mboe mboe wabadilike.
Tanzania ni nchi yetu sote na itaendelea kuwepo hata kama mboe hayupo hivyo ni lazima tuipende na kuilindi nchi yetu.
 
Nionavyo mimi kuhusu yanayoendelea mahakamani.

Mawakili, hasa wa upande wa utetezi wanafanya kazi kwelikweli, na wala hakuna kuzembea. Wako 'alert' wakati wote mahakamani. Naomba mwenye ushahidi wa ofisi yoyote hapa nchini wafanyakazi wanapokuwa kazini ofisini wanajibidisha na kazi zao wakati wote kama wafanyavyo hawa mawakili.

Nidhamu hii ya kazi ingekuwa imeenea katika kila ofisi, nchi hii tungekuwa tupo mbali sana.

Pili, hawa mawakili wanaijua kazi yao barabara na taratibu za kazi hiyo. Hawabahatishi.

Tatu, inaonekana maandalizi kabla ya kazi kwao ni muhimu zaidi, kwa hiyo ni lazima wawe na 'discipline' ya kujituma na kutumia muda wao (time management) vizuri

Maswali ni haya haya, ni ofisi ngapi zina wafanyakazi wenye mwamko wa aina hii makazini kwao?

Mimi napendekeza: Pawe na utaratibu wa nyanja mbalimbali kuonyesha umahiri wao wa utendaji kazi wao ili ushuhudiwe kama tunavyoshuhudia kwenye kesi hizi.

Kwa mfano: Walimu wa ngazi mbalimbali nao siku moja moja wapewe ukumbi watuonyeshe umahiri wa utendaji kazi wao. Hivyo hivyo na Manesi, Madaktari, ma-engineer, n.k., n.k.
Ni namna tu ya kupanga jinsi mawasilisho kwa jamii yatakavyofanyika.
 
Mboe ana dhambi kubwa sana Mbele ya Mungu na kwa watanzania wote.

1. miaka yote ya uenyekiti wake alikuwa akiwatengeneza vijana watukutu wenye tabia za kihalifu, kama vile; ujambazi, uzaji madawa, matusi, ukorofi wa kuto kutii sheria, kuto kuheshimu mamlaka n.k.

angalia alivyo wapotezea maisha kina Lingwenya, mohamedi, Halfani, Adam....huyo mdio mboe na mipango yake miovu.
kama isinge kuwa njama ovu za mboe leo hii hawa jamaa wasingekuwa wanateseka mahabusu mpaka leo....ila yote hayo ni tabia za kihalifu za mboe.

Pia ukiwachunguza baadhi ya wafuasi wa mboe utagundua kuwa hawana kabisa chembe ya uzalendo kwa nchi yao na hili ni kutokana na jinsi Mboe alivyo watengeneza kwa kuwapandikizia tabia za kihalifu kwa nchi yao.
hii ni dhambi kubwa aliyo ifanya mwenyekiti mboe kwa wafuasi wake.

namshauri wafuasi wa mboe mboe wabadilike.
Tanzania ni nchi yetu sote na itaendelea kuwepo hata kama mboe hayupo hivyo ni lazima tuipende na kuilindi nchi yetu.
Na wewe basi, tukutambue kwamba "UJUHA" ndio 'specialty' yako! Taifa haliwezi kamwe kukosa watu kama wewe, hilo litakuwa ni taifa la ajabu sana.
 
Back
Top Bottom