Namuona Sheikh yahya akimpa karatasi nyeupe nae akipiga magoti. Wote wamevaa nguo nyeupe. na wamezungukwa na maji meupe. Angaalia vizuri.
Badilisha contrast ya computer utafanikiwa.
Haya wazee naituma upya hapa. Sio blank, kuna shahada kabisa na yeye anapokea. Hebu angalia tena hapa chini kwenye hii link mpya.View attachment 25228View attachment 25229