Shafi Dauda ni mkweli

Mtu unakuja umu na kusema fulani ni mkweli bila kueleza parameter za ukweli wake ni kuwa na mtindio wa ubungo huyo shaffii ni mjuaji na kanjanja wa nguvu tumeisha sema na kuonesha ubabaishaji wake huyu jamaa ni low mind person lakini anajitutumua kuzungumza mambo makubwa.
 
Madam, kati ya YANGA & SIMBA, ww upo upande gani, ningependa kufahamu tu.

Mimi nipo kwa anaeshindwa, akishindwa Simba mimi Simba na akishindwa Yanga mimi Yanga, na nna-sababu maalum ya kufanya hivyo, nayo ni kwa kuwa wanangu kila mmoja anashabikia timu yake na sitaki kuwaudhi. Bora niwe neutral na nimliwaze aliyeshindwa.
 

mkuu,una uhakika fifa imemruhusu okwi kuichezea yanga? Barua ya fifa kwa tff kuhusu suala la okwi umeiona? Fifa hakika haijamruhusu okwi kucheza yanga na imesema sio kazi yake,ila imetoa angalizo tu kwa tff kuhakikisha taratibu zote za uhamisho zimefuatwa ili wasije kukabiliwa na adhabu itakapobainika kulikua na ukiukwaji wa taratibu za usajili kwa mchezaji husika
 
View attachment 139710
Hichi ndicho FIFA walichosema!!

Mmmh, kama FIFA wamesema haya, kuna MTEGO mkali. YANGA wanatakiwa wawe makini sana. FIFA ni kama wamewatupia mzigo TFF ili likibuma wao waseme tuliwaambia mufuate kanuni zote. Yanga wakae wachambue wakiridhika pasi na shaka na ukakasi basi wamtumie, lakini naona kama Shaffi Daudah anaonewa bure tu, yeye katoa angalizo tu ambalo si lazima lifuatwe.
 
Mimi nipo kwa anaeshindwa, akishindwa Simba mimi Simba na akishindwa Yanga mimi Yanga, na nna-sababu maalum ya kufanya hivyo, nayo ni kwa kuwa wanangu kila mmoja anashabikia timu yake na sitaki kuwaudhi. Bora niwe neutral na nimliwaze aliyeshindwa.
Haahaaaa..nimeipenda hiyo neutral yako! hapo wanao kila mmoja anajihic yupo timu moja na mzazi wake!.
Ila moyo wako kuna sehemu umeelemea zaidi.
 
Haahaaaa..nimeipenda hiyo neutral yako! hapo wanao kila mmoja anajihic yupo timu moja na mzazi wake!.
Ila moyo wako kuna sehemu umeelemea zaidi.

Kusema kweli yote ni sawa kwangu na nahisi bila Simba na Yanga itakuwa boring sana, kila mmoja hawezi kusikia raha akikosekana mmoja wapo.

Ni kama watoto nyumbani yule ambae hana mafanikio ndio anaegemewa sana na kuoneshwa mapenzi zaidi na wazazi, unajuwa kwanini>? asijihisi kuwa yeye si lolote si chochote wakati ana role kubwa ya kuwepo kwake.
 
timu ya azam iko njiani kutokea msumbiji washabiki wa azam jiandaeni kuipokea..
 
Nimekupata!
hapo jibu ninalo, kwa kuwa yanga na simba inajulkana timu gani ina mafanikio zaidi ya nyingine.
nikutakie j3 njema madam.
 
huyo OKWI na ulingano gani na VAN PERSIE au MESSI?? maana mnatujazia servers humu kwa mtu ambae huko mbele ataishia kucheza timu za daraja la 2 au 3.
 
huyo OKWI na ulingano gani na VAN PERSIE au MESSI?? maana mnatujazia servers humu kwa mtu ambae huko mbele ataishia kucheza timu za daraja la 2 au 3.

Hiyo stroke haijakuua tu hadi leo?
 
wewe unayejua hebu tueleze yanga wamemnunua wapi okwi? i mean wameilipa timu gani pesa ya usajili ya okwi? then jiulize huko walikolipa okwi alikwendaje?je walikuwa na mamlaka ya kumuuza au walikuwa naye kwa mkataba wa muda mfupi? angalieni vizuri na mtafsiri wanachosema FIFA msije mkaumbuka!!!!simba walimuuza okwi et d sahel, yanga wamemnunua kutoka sprtz club villa, swali ni je ni lini eto d sahel walimuuza okwi sportz club villa hadi wapate mamlaka ya kumuuza kwa yanga?fifa wanasema pesa za simba wanazodai hazihusiani na usajili wa mchezaji, but still wameacha hewani ni nani hasa mmiliki halali wa mchezaji anayeweza kumuuza kwenda timu nyingine......mtakuja lia nyie endelezeni siasa bandidu zenu za soka fitina
 

Mburura mkubwa wa kutafakari!!!! Nenda kwenye hiyo website ya babaako Shaffih sikiliza mahojiano aliyoyafanya baada ya kumwelekeza uone alivoumbuka. Mpirani kwenyewe huwa hulipi kiingilio unasubiri fungulia dog, halafu unaleta umburura wako kwa wanaume..... get lost, you are wasting my time. i'm logging out!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mtu mwenyewe mtoto wa mama wewe unasubiri ile ya "buluubandi chakula tayariiiiii" basi unakimbilia mezani kuwahi kupakua nyama kubwa kubwa then unakuja kuleta dharau hapa. ingekuwa inawezekana one day tukaambiana humu jukwaani tukutane wengi tungezirai kwa dharau kama hizi. sasa kwa taarifa yako me naweza kuwalisha home kwenu wote kwa miaka zaidi ya kumi yaani nyie kazi yenu mnakula mnaenda toilet tu hakuna kingine nyau weeee
 
Arushaone yana ukweli haya mkuu? kama kuna ukweli ndo maana @rage anajivunia kuwa kiongozi wa mnyama.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…