Wana JF ningependa kumuunga mkono shafi dauda kwa msimo wake kwani anazungumza ukweli watu wanachukia,okwi ni bomu kali.
Hapana mie ni yanga damu but shafi ni mkweli,pia rais huyo amezungumza na shafi na kusema okwi bado anamkataba nao.
Hapana mie ni yanga damu but shafi ni mkweli,pia rais huyo amezungumza na shafi na kusema okwi bado anamkataba nao.
Hakuna damu ya njano wala ya kijani, je unaweza kutueleza chombo cha juu kwenye football chenye kauli ya mwisho Dunia mzima kinaitwajwe? maana am afraid tusije tukawa tudebate na mitahaahira na mizuzu isiyojuwa chochote FIFA ni nini.Hapana mie ni yanga damu but shafi ni mkweli,pia rais huyo amezungumza na shafi na kusema okwi bado anamkataba nao.
Thead gani hii? anyway UKWELI NI UPI KATIKA ALICHOSEMA? sikiliza kijana; kwa maelezo yake alotoa kwenye web yake hakuna lolote la maana aloongea maana ni gossips tu. UKWELI UTAPATIKANA ENDAPO: 1. AMEMUHOJI OKWI KWA NINI HAYUKO SAHEL NA KUONA VIELELEZO VYAKE. 2. AMEHOJI SAHEL KWA NINI HAWAKO NA OKWI NA WAONYESHE VIELELEZO VYAO. 3. AMEHOJI VILLA WALIMPATAJE OKWI NA VIELELEZO. 4. AMEHOJI YANGA WALIMPATAJE NA VIELELEZO. 5. AMEHOJI TFF WANA VIELELEZO GANI. 6. AHOJI FIFA NA KUONA VIELELEZO WALIVYONAVYO NA KWA NINI WAMETOA ITC. 7. AMEHOJI SIMBA NA KUONA MIKATABA YA MAUZIANO YA OKWI NA 8. AMEHOJI WAKALA WA OKWI KATIKA MZUNGUKO WOTE TOKA SIMBA HADI YANGA. Angefanya hivi halafu akaja na conclusion. Habari yake iko hewani haitoi suluhu,anajaribu kutuletea utumbo wanaotangaza pale kwenye redio yao. bahati mbaya wakikutana na watu wa aina yako unakurupuka eti anaongea ukweli sasa tuonyeshe ukweli ni upi katika alichokisema? Kama kuna angalizo hilo ndo la kufanyiwa kazi siyo habari aliyosema amehoji huyo wa Sahel. ACHENI ULIMBUKENI WA KUAMINI BILA KUTAFAKARI, TUMIENI AKILI MMEPEWA BURE NA MUNGU!Hapana mie ni yanga damu but shafi ni mkweli,pia rais huyo amezungumza na shafi na kusema okwi bado anamkataba nao.
Yanga wamtumie tu Okwi ila baadae wasije wakajuta!! Maana wanafikiri FIFA inapelekwapelekwa kama wanavyoipelekesha TFF
Mimi nashindwa hata kushangaa mana ake, kumbe Rage anajuwa kama anaiongoza misukule isiyojuwa lolote.Inaelekea kuna chombo kingine kilicho juu ya FIFA mtujuze sisi ambao hatukijui.
Nilidhani watu wangekuwa wanajadili jinsi Simba itavyopata fedha zake toka Etoile. Na ilikuwaje aende bila kulipwa chochote. Kapombe hivyo hivyo hamna senti tano ya dawa.
Hayo ndio masuala ya kujadili maana uzezeta huu unatokea Tanzania tu
Wana JF ningependa kumuunga mkono shafi dauda kwa msimo wake kwani anazungumza ukweli watu wanachukia,okwi ni bomu kali.
Hapana mie ni yanga damu but shafi ni mkweli,pia rais huyo amezungumza na shafi na kusema okwi bado anamkataba nao.
Sadakta. Kuna tofauti baina ya maoni (opinion), ukweli (truth) na uhalisia (fact). Nashangaa maoni ya wanaojiita wachambuzi wa soka (ambao ushabiki wao wa dhahiri kwa baadhi ya timu unawatoa moja kwa moja kwenye sifa hiyo) kuwa ndio ukweli au uhalisia wa jambo lenyewe. Tunapaswa kujua kwamba wao ni binadamu kama wengine, hivyo wana utashi, chuki na kasoro kama wengine. Kudhani kila wanalolifikiri wao (yaani maoni yao) ni sahihi hata kama akili zetu zinatilia mashaka baadhi ya hoja zao kwa sababu tu eti wao ndio wamekwishaandika ni kutoziamini nafsi zetu. Ingekuwa darasani, maoni hao yangepaswa kusahihishwa na mwalimu kwanza ili kutahmini uhalisia wake. Kwenye makala za vyombo vya habari, wa kutahmini ni msomaji mwenyewe. Kuuziwa tu makala na kuinunua jumlajumla hata kama nafsi ina mashaka na hoja za mwandishi ni ulimbukeni ulioje! Ulimbukeni wa aina hii ndio uliowaibua akina Adolf Hitler.Thead gani hii? anyway UKWELI NI UPI KATIKA ALICHOSEMA? sikiliza kijana; kwa maelezo yake alotoa kwenye web yake hakuna lolote la maana aloongea maana ni gossips tu. UKWELI UTAPATIKANA ENDAPO: 1. AMEMUHOJI OKWI KWA NINI HAYUKO SAHEL NA KUONA VIELELEZO VYAKE. 2. AMEHOJI SAHEL KWA NINI HAWAKO NA OKWI NA WAONYESHE VIELELEZO VYAO. 3. AMEHOJI VILLA WALIMPATAJE OKWI NA VIELELEZO. 4. AMEHOJI YANGA WALIMPATAJE NA VIELELEZO. 5. AMEHOJI TFF WANA VIELELEZO GANI. 6. AHOJI FIFA NA KUONA VIELELEZO WALIVYONAVYO NA KWA NINI WAMETOA ITC. 7. AMEHOJI SIMBA NA KUONA MIKATABA YA MAUZIANO YA OKWI NA 8. AMEHOJI WAKALA WA OKWI KATIKA MZUNGUKO WOTE TOKA SIMBA HADI YANGA. Angefanya hivi halafu akaja na conclusion. Habari yake iko hewani haitoi suluhu,anajaribu kutuletea utumbo wanaotangaza pale kwenye redio yao. bahati mbaya wakikutana na watu wa aina yako unakurupuka eti anaongea ukweli sasa tuonyeshe ukweli ni upi katika alichokisema? Kama kuna angalizo hilo ndo la kufanyiwa kazi siyo habari aliyosema amehoji huyo wa Sahel. ACHENI ULIMBUKENI WA KUAMINI BILA KUTAFAKARI, TUMIENI AKILI MMEPEWA BURE NA MUNGU!
wastage of time nina log-out!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Madam, kati ya YANGA & SIMBA, ww upo upande gani, ningependa kufahamu tu.Mitanzania inavyobishania mchezaji mmoja, utafikiri inachukuwa kombe la Afrika au la Dunia akiwepo. Muda wote mnaoupoteza na energy mnayoitumia kubishania kijichezaji mpira kimoja mngeutumia japo kukaa na watoto na au ndugu zenu wadogo nyumbani mkaongea nao mambo ya maana mngekuwa mmelisaidia sana Taifa la kesho.