GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,646
- 109,033
Jamaa anastahili pongezi. Anajitoa sana kwenye soka, binafsi sijawahi kumsikia akichapa ngeli, labda nigekuwa na maoni tofauti
Km ni kweli akubali kubadilika. Kuhusu ushabiki naona siku hizi kapunguza
Kabisa kabisa hana haja ya kupuuza labda kama hataki mafanikio zaidi na zaidi basi apuuzie tu ushauri wakoHata Mimi namkubali na ndiyo maana nimempa Sifa zake za Kiutendaji na Kiubunifu ila nimemsema kidogo ili ajijue na ayafanyie Kazi niliyomwambia japo anaweza pia akaachana nayo vile vile kama ataona hayana maana Kwake.
Mkuu tatizo bila shaka ni context ya swali lako. Ungeuliza hili swali kwenye mazingira sahihi isingeleta shida sanakwa nini mbona nimeuliza swali lenye mantiki au tatizo nini hapo mbn sijaona tatizo,kuna muswada niliona wakupandisha bei ya kurenew leseni natka kufahamu utaratibu sasa upoje kama ni gharama gani inatumika
ok,mimi nimeona madharani watu tupo na mimi na swali naloitaji jibu nikaona haitakua na shida maana ni inshu ambyo nilitaka ifahamu,ila kwa sababu nimuuliza kitu ambacho sio kibaya nadhani nikipata jibu kwa anaefahamu itanifahaa zaidi.hata kama ww unafahamu basi naomb unifahamisheMkuu tatizo bila shaka ni context ya swali lako. Ungeuliza hili swali kwenye mazingira sahihi isingeleta shida sana
oooh
ok,mimi nimeona madharani watu tupo na mimi na swali naloitaji jibu nikaona haitakua na shida maana ni inshu ambyo nilitaka ifahamu,ila kwa sababu nimuuliza kitu ambacho sio kibaya nadhani nikipata jibu kwa anaefahamu itanifahaa zaidi.hata kama ww unafahamu basi naomb unifahamishe
kwani kuna mtu wa SIMBA anayekupenda boya wewehakuna timu naichukia hapa duniani kama Simba na mashabiki wake.
Yaaani shafii Dauda huyu ninaemfahamu hajui Kiiingereza au shafii mwingine? Mbona mi nmemfuatilia interviews zake yupo vzr ? Labda km unataka aongee haraka haraka kitu ambacho naona hawezi kwani hata kiswahili hawezi kuongea haraka. Yupo vzr bana!