Shaffi Dauda umeshazeeka, punguza kufitinisha watu mzee

Kiufupi tu ni kuwa huyo shafii anaiota nafasi ya Haji pale Simba. Yani anaitamani sana ila ndio hivyo tena hataipata maana ni utopolo mtupu.

Yeye aendeleze ukanjanja tu na kupiga ramli chonganishi.
 
Shida sio shaffi wala manara
Tatizo ni usimba na uyanga unawapa airtime wote wawili
Yanga watalua upande wa shaffi na simba upande wa manara.

Toka shaffi aseme simba atapigwa game zote away za CHAMPIONS LEAGUE GROUP STAGE kwa idadi kubwa ya magoli nilimununfollow.

Huwezi kua mwana mpira ukatoa uchambuzi dhaifu kama ule huku ukijikuta upo balanced NEVER...

Halafu bongo hatujui utofauti wa:-

1. Mwandishi wa habari za michezo.
2. Mtangazaji wa habari za michezo.
3. Mchambuzi wa habari za michezo.

Kwetu kila mtu anaingia nafasi zote hapo juu.
 
Mimi ni Shabiki na mwanachama mwaminifu wa Simba SC lakini katika hili Shaffih kaandika points tupu, sijaona tatizo.
Hivi kwani ukitaka kuponda Simba sc ni lazima uanze kwa kusema wewe ni shabiki wa Simba kwani ukikosoa tu au ukijitaja tu kuwa wewe ni Yanga au Ihefu huto eleweka? Kwahiyo siku hizi ili ukosoe Simba inabidi kwanza ujiweke upande wao sivyo?
 
Shafii ni mwandishi kanjanja!! Anaishi mjini kwa ujanja ujanja!! Hafai hata kumsikiliza! Ni mzee wa madili!!
Wakati Simba wanacheza mechi ya mzunguko wa kwanza na Platieu FC Simba ilishinda mchezo huo goli moja bila.
Basi huyu Shafii Dauda kwenye Sports extra tena bila aibu kabisa akawa anasema wale wa Nigeria huwa hawana mpango na michuoni ya Africa ila wao wamejikita katika kutengeneza wachaji ili kuuza ulaya kwahiyo hawako serious na michuano ya ndani Africa hivyo Simba wamepata mtelemko na akasema kuwa Simba anawasubiri kuja kucheza na mazembe huko ila sio team za Nigeria.

Huyu jamaa siku zote yeye ni mr negative kwa Simba
 
Wachambuzi takataka tu kama alivyosema Haji manara yanga ilivunja kanuni nyingi tu kama alivyosema Haji isikilizen hijo yake mtamuelewa
 
Wakati Simba wanacheza mechi ya mzunguko wa kwanza na Platieu FC Simba ilishinda mchezo huo goli moja bila.
Basi huyu Shafii Dauda kwenye Sports extra tena bila aibu kabisa akawa anasema wale wa Nigeria huwa hawana mpango na michuoni ya Africa ila wao wamejikita katika kutengeneza wachaji ili kuuza uliya kwahiyo hawako serious na michuano ya ndani Africa hivyo Simba wamepata mtelemko na akasema kuwa Simba anawasubiri kuja kucheza na mazembe huko ila sio team za Nigeria.

Huyu jamaa siku zote yeye ni mr negative kwa Simba
Mbona tunamjua na ni mtu asiyejua kuona haya!!
 
Back
Top Bottom