Shaffi Dauda: Mkuki kwa Nguruwe kwa Binadamu mchungu

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,838
38,729
Nyie mlioandamana pale kirumba kumzonga Kayoko kwa madai ya kutoamua vyema mchezo hivi mnaelewa hata maana ya Offside kweli nyie wapiga kelele wa kwa Mparange hamkuona kibu alivyokuwa Offside kisha akaingilia mchezo.

OOk sawa nyie ni wapenda haki lakini ilitakiwa kuandamana hata ile siku ya mechi ya kombe la Mapinduzi kati ya Simba dhidi ya Singida BS si mlipewa ushindi usiokuwa halali, Pia mechi ligi Kuu kati ya Singida Vs Simba si mlikuwa mmepigwa ila SBS wakadhurumiwa goli halali nyie goli lenu la Offside likakubaliwa kuweni wapole basi

Hatujasahau Mechi ya Simba Vs Geita Gold Kapombe alipojiangusha mlipofungwa goli la kusawazisha likakataliwa, Hivi mnakumbuka mechi ya Derby Simba Vs Yanga Kapombe alitoa mpira ikasemekana katoa Lomalisa kona ambayo ilizaa goli lakwanza na kuwatoa mchezoni Yanga mbona wao hawakuandamana, Mechi ya November Kapombe alimdaka Mudathiri ilipaswa kuwa penart ila ikamezwa hamkuiona?

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Mechi ya November
emoji1588.png
Kapombe alimdaka Mudathiri ilipaswa kuwa penart ila ikamezwa hamkuiona?
Aliiona 🥴
 
Nyie mlioandamana pale kirumba kumzonga Kayoko kwa madai ya kutoamua vyema mchezo hivi mnaelewa hata maana ya Offside kweli nyie wapiga kelele wa kwa Mparange hamkuona kibu alivyokuwa Offside kisha akaingilia mchezo.

OOk sawa nyie ni wapenda haki lakini ilitakiwa kuandamana hata ile siku ya mechi ya kombe la Mapinduzi kati ya Simba dhidi ya Singida BS si mlipewa ushindi usiokuwa halali, Pia mechi ligi Kuu kati ya Singida Vs Simba si mlikuwa mmepigwa ila SBS wakadhurumiwa goli halali nyie goli lenu la Offside likakubaliwa kuweni wapole basi

Hatujasahau Mechi ya Simba Vs Geita Gold Kapombe alipojiangusha mlipofungwa goli la kusawazisha likakataliwa, Hivi mnakumbuka mechi ya Derby Simba Vs Yanga Kapombe alitoa mpira ikasemekana katoa Lomalisa kona ambayo ilizaa goli lakwanza na kuwatoa mchezoni Yanga mbona wao hawakuandamana, Mechi ya November Kapombe alimdaka Mudathiri ilipaswa kuwa penart ila ikamezwa hamkuiona?

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Umesahau Dodoma Jiji waliifunga Yanga, mwamuzi akawanyima goli halali.
 
Umesahau goli la Obrey Chirwa la Kagera dhidi ya Yanga, Goli walilofungwa Yanga na Polisi Tanzania ikawekwa kona?Penalti dhidi ya Geita Gold kw faulo mita 5 nje ya penalty box.Yanga wakapata goli la ushindi.Goli la kusawazisha dhidi ya Namungo kwa penalti baada ya Fei kujiangusha nje ya penalty box.Niendelee?
 
Maandamano FC
 
Ila mashabiki wa bongo ni vilaza pro max, mti akishaanza kutumia hisia bila akili huyo ni wa kupuuzwa.
 
Umesahau goli la Obrey Chirwa la Kagera dhidi ya Yanga, Goli walilofungwa Yanga na Polisi Tanzania ikawekwa kona?Penalti dhidi ya Geita Gold kw faulo mita 5 nje ya penalty box.Yanga wakapata goli la ushindi.Goli la kusawazisha dhidi ya Namungo kwa penalti baada ya Fei kujiangusha nje ya penalty box.Niendelee?
Kuwaelewesha uto ni vema ukapewa Kazi ya kumfundisha mbuzi kusoma atakuelewa kuliko hao wateja wa Luck Eymael
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Simba pale hamna timu,dube andekuwa makini angetoka na goli 3,na huyu lyanga nae ilikuwa wazi,zilikuwa zinaingi 4 pale.
 
Nyie mlioandamana pale kirumba kumzonga Kayoko kwa madai ya kutoamua vyema mchezo hivi mnaelewa hata maana ya Offside kweli nyie wapiga kelele wa kwa Mparange hamkuona kibu alivyokuwa Offside kisha akaingilia mchezo.

OOk sawa nyie ni wapenda haki lakini ilitakiwa kuandamana hata ile siku ya mechi ya kombe la Mapinduzi kati ya Simba dhidi ya Singida BS si mlipewa ushindi usiokuwa halali, Pia mechi ligi Kuu kati ya Singida Vs Simba si mlikuwa mmepigwa ila SBS wakadhurumiwa goli halali nyie goli lenu la Offside likakubaliwa kuweni wapole basi

Hatujasahau Mechi ya Simba Vs Geita Gold Kapombe alipojiangusha mlipofungwa goli la kusawazisha likakataliwa, Hivi mnakumbuka mechi ya Derby Simba Vs Yanga Kapombe alitoa mpira ikasemekana katoa Lomalisa kona ambayo ilizaa goli lakwanza na kuwatoa mchezoni Yanga mbona wao hawakuandamana, Mechi ya November Kapombe alimdaka Mudathiri ilipaswa kuwa penart ila ikamezwa hamkuiona?

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Mimi nimefurahia matokeo ya droo kari ya Azam na Simba. Mengine nawaachia wao wenyewe wake wenza watoane roho

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Nyie mlioandamana pale kirumba kumzonga Kayoko kwa madai ya kutoamua vyema mchezo hivi mnaelewa hata maana ya Offside kweli nyie wapiga kelele wa kwa Mparange hamkuona kibu alivyokuwa Offside kisha akaingilia mchezo.

OOk sawa nyie ni wapenda haki lakini ilitakiwa kuandamana hata ile siku ya mechi ya kombe la Mapinduzi kati ya Simba dhidi ya Singida BS si mlipewa ushindi usiokuwa halali, Pia mechi ligi Kuu kati ya Singida Vs Simba si mlikuwa mmepigwa ila SBS wakadhurumiwa goli halali nyie goli lenu la Offside likakubaliwa kuweni wapole basi

Hatujasahau Mechi ya Simba Vs Geita Gold Kapombe alipojiangusha mlipofungwa goli la kusawazisha likakataliwa, Hivi mnakumbuka mechi ya Derby Simba Vs Yanga Kapombe alitoa mpira ikasemekana katoa Lomalisa kona ambayo ilizaa goli lakwanza na kuwatoa mchezoni Yanga mbona wao hawakuandamana, Mechi ya November Kapombe alimdaka Mudathiri ilipaswa kuwa penart ila ikamezwa hamkuiona?

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Shaffi kamaliza Kila kitu, uwezi kuwa na akili timamu eti unaandamana kumkataa refa wakati huo huo marefa hao hao wamekufaidisha kwa kukupa point za mbeleko na aukuandamana kuwakataa Wala kuwakemea Bali zilikuwa zinatembea kauli za " nendeni polisi mkashtaki Kama mmeumia"!!!
Sasa mmedondosha point muhimu ndio mnamgeukia refa aliyetimiza majukumu yake vizuri? Kibu aliotea kabla ajaingilia mchezo na kufaidika na mpira aliotoa pasi lakini yote ayo mashabiki wa mangungu fc wanamlaumu refa? Refa ndiye aliyefanya wapelekewe moto na Azam Kila mechi wanayokutana?
Ukiwa na kikosi Cha unga unga mwana utakuwa unashinda zile mechi za mipango mipango tu Kama za Tabora united na sio kuzishinda timu zinazojielewa matokeo yake ndio Aya mashabiki wao wanajua wamempiga Tabora kwa ubora wa kikosi Chao kumbe tiyali sabuni ya roho ilishapenyezwa kurahisisha mambo ushindi mnono upatikane!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom