1979Magufuli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 438
- 1,752
Yanga wameamua mashabiki waingie bure kule mzunguko ili uwanja ujae na kwa vile Rais wa CAF ni Rais wa Mamelod wakiwa na mkakati mkubwa kuwa ionekane kuwa wao wana mashabiki wengi kuliko Simba hivyo wawe wanapatiwa nafasi ya kushiriki mashindano mbalimbali ya CAF ikiwemo super league.
Wengi mnaweza msijue lakini ukweli ni kuwa wameona wakiweka viingilio kule mzunguko kutakuwa na mashimo mengi na kwa vile wanajitafuta ili kuipiku Simba kimataifa kwa kuonekana wao wana mashabiki wengi basi mzunguko watu waingie bure, hapo watakuwa wamewawini Simba.
Yaaani wao lengo Lao ni kuhakikisha Africa inatambua kuwa hapa Tanzania wao ndio wana mashabiki wengi kuliko Simba na mfano watatolea mechi na Mamelodi.
Niwaombe viongozi wa Simba wasikubali brand yao ishushwe na ujinga wa uongozi wa yanga, wawaeleze viongozi wa CAF kuwa umati huo wa mtume Muhammad S.A.W kwenye game ya Mamelodi ni mambo ya demo hayo wakati sisi mashabiki wamelipia viingilio.
Mkakati wenu nimeushtukia vilaza wakubwa nyie wa Jangwani.