Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
Nahisi atakua saudari tu huyo ndio kamshikilia Mpwa wangu kwa style zake hizo, huyo alieshikiliwa nahisi ni Little Angel sio bure, MANI njoo uone mambo ya malimwengu, sasa hapo sijui ni mpira tu au ni mpira na goli....
natamani ningemuona na uso
This happened during a soccer match
in South Africa Few hours back
I wonder if she "scored" that night.
More photos after the jump
Sauzi Afrika raha sana, ndo maana wananenepa! Naona wengi wametinga jezi za Kaizer Chiefs, sijui walikuwa wanakipiga na timu gani.
Shuka bondeni kaka, Tanzania hakuna mambo hayo! Ndo maana nikasema Sauzi raha tupu. Kama huna jeuri hiyo tulia hapo hapo ulipo, wala usichezecheze. Unakasirika nini sasa?hiyo ndio umeona Raha? Hakika nawe wa ajabu. kama umeona ni raha usisubiri wakae uchi madada wa wengine ebu anza kumwambia ndugu yako wa jinsia hiyo aanze kukaa kama huyo ili nasi tanzania tuwe na raha.
Nahisi atakua saudari tu huyo ndio kamshikilia Mpwa wangu kwa style zake hizo, huyo alieshikiliwa nahisi ni Little Angel sio bure
Huuuuuuuuwii jamani simfahamu mtu huyu mie,
Ilikuwa mechi ya Kaizer Chiefs na Orlando Pirates Katika stadium la Moses Mabida na alivua baada ya mzuka wa soka kumpanda ila nahisi ilikutokanan na pombe kwani mizuka ya kukaa uchi sijawahi iona.
mbona kavaa chupi ya simba?Mashabiki wa Yanga wakifurahi siku moja moja.
mbona kavaa chupi ya simba?
Hahaaaaa nchi yetu ikifika hivi yaani daily niko taifa hata icheze ruvu na kaba kayeka mi naingia
mbona kavaa chupi ya simba?
Na kama vile yupo jukwaa la Simba pale Taifa