Shabani mlacha aondolewe udom | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shabani mlacha aondolewe udom

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by DON KILLUMINATI, Jan 10, 2011.

 1. DON KILLUMINATI

  DON KILLUMINATI Senior Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  people's power
   
 2. k

  kighumi1975 Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anasema yeye hawezi kutolewa labda kwa ncha ya upinde kwani yeye hakutafuta wala kuomba kazi. yeye kateuliwa na Presidaaa! hivyo wengine wote ni vidampa tu.
   
 3. Tores

  Tores JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 425
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  hii maada ya UDOM siipendi kabisa....Yaani nyinyi wenyewe ndio mlimchukulia Fomu za kugombea urais JK.Sasa mnapayuka nini! Vumilieni hayo matatizo mpaka 2015. Na Mtalijua jiji!
   
 4. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Jamani msitusumbue, kwani ukiona ndugu wanagombana chukua jembe ukalime.
   
 5. Patty B

  Patty B Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tores unakoment kama **** flani hivi bila hata kujua nini unakiandia...Huifahamu UDOM unakurupuka tu....usiwe unasoma magazeti na kulalia katika ulichokisoma..kwa mtu aliye na akili nzuri huwa anafatilia kwa makini kile alichokisoma...unaposikia UDOM ni zaidi ya unachofikiria hapa kuna watu wengi sana na kila mmoja ana falsafa yake katika maisha...waliomchangia MSHAKJI kuchukua fomu ni wala sio wanafunzi ilikuwa ni propaganda za kisiasa na ukumbuke wakati ule ilikuwa ni kipindi cha uchaguzi kwa hiyo magazeti yaliandika mengi kwa jinsi yalivofikiria...WE UNAONAJE UKIITWA FISADI NA BADHILIFU WA MALI YA UMMA KWA KUMRUDISHA ANAEWAKUMBATIA MAFISADI kisa tu ni mtanzania na aliyeshinda kashinda uongozi wa tanzania....acha upuuzi mtu mzima wewe!
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,907
  Trophy Points: 280
  2015
   
 7. j

  jerry monny Member

  #7
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni vyema tukagundua kwamba ITIKADI ni imani ya mtu fulani juu ya jambo fulani.. UDOM kuna wanafunzi zaidi ya 20000, ni ngumu sana kushikilia akili za watu wote hawa tena wanachuo.. Sifurahi kuona mtu anahusisha wanafunzi wote na siasa za chama fulani. Tujenge tabia ya kuwa wachunguzi na sio waropokaji.
   
 8. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2011
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Baada ya kuona jinsi EL, JK, RA , n.k. wanavyo lawiti nchi, vipi kama mkenya au mu-US akikueleza hayo hayo? Yaani usimsumbue maana wewe ndo ulimchagua!

  UDOM ni taasisi ya serikali ambayo kila mtu ana stahili ya kuajiliwa pale. Siyo ya CCM, siyo ya Kikwete, wala mlacha au Kikula. Woote hawa lazima washike adabu na siyo kujitungia adabu waipendayo.Tuwaachie akina nani sasa!

  Lazima tuseme NO! Hiki ni chuo cha wa-TZ na siyo shemeji apewe kuwa mkuu wa chuo bila hata kujali historia ya ubovu wa akili yake.
   
 9. m

  majuva Senior Member

  #9
  Jan 19, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakati utafika MLACHA atatoka kama alivyoingia, naye analijua hilo, wala hategemei kuwa ataishi katika post hiyo milele, atakuja PFA mwingine na yeye mlacha atabaki kuwa mlacha, na waosha vinywa watatafuta mengine ya kuongea!
  kwa nchi ya tanzania ambayo kila mtu anakwamisha uwajibika wa mwenzie matatizo hayo hayawezi kukosekana, labda niulize hivi huko mkwawa, duce, katika halmashauri na kurugenzi ambako kila mtu analia kwa kukosa haki yake nako ni mlacha anakwamisha, hivi ni walimu wangapi either ndani ya miaka mitano hii au nyuma zaidi ya hapo wamekuwa wakidai na wanadai pesa zao za mishahara ambazo hazina hazijawalipa, ni walimu wangapi ambao wanatolewa katika payrol za hazina huku halmashauri husika zikiwa hazijui kwanini wametolewa wanashangaa tu mishahara yao haiji, je haya nayo ni ya MLACHA, nadhani tunaangalia tulipoanguka sio tulipojikwa,
  suala la malipo ya wanafunzi ipo board husika na baaadhi ya pesa wala haziingi chuo ni direct payment kwa wanafunzi nalo hilo pia ni MLACHA, ama kweli ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya!
   
 10. B

  Baba Tina Senior Member

  #10
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Torres kama topic ya udom huipendi si unaipotezea tu kwa nini uangaika kukichosha kidole gumba chako kuchangia mada usiyoipenda?
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  patty,unakoment kwa jazba tena kipumbavu, kama wewe ni mwana UDOM na huhusiki katika kumchukulia rais fomu za kugombea urais ni kwanini wakati huo hamkukanusha kuwa udom haihusiki? Leo ndo unajifanya kuiondoa udom kwenye saga. For u r info huyo mpare munamuandama bure, chuo chenu hakijaletewa fedha kwa kuwa fedha nyingi zimetumika kwenye uchaguzi na serikali haina hela, ukweli ni kuwa hizo tume zilizoundwa ni delaying tactic huku govt ikitafuta fedha. Huyo DVC-admn and finance hamuwezi kumuondoa kamwe kwa kuwa kwa sasa hana kosa wala kauli. Fumbueni macho muone ukweli na muache utoto kwani wanafunzi na walimu wa UDOM wote bado mna uelewa mdogo wa issues.
   
 12. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  UDOM = University Of CCM!

  Hivi CAG bado hajafika hapo? Maana mtoto wa Mkulima mlimshangilia sana majuzi kwa "maneno yake matamu"!

  But.. You have a long way to go...Trust me

  UDSM imeharibiwa na Mkandara, ingawaje before that , pale siasa na academia vilikuwa vitu viwili tofauti, But UDOM mmeaza na Siasa halafu academia ndiyo inafuata!
   
 13. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,501
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  akili ni mali kijana haihitaji upewe ushuhuda
  jiulize ni chuo gani wanafunzi wake walijitokeza kwa wingi kugombea ubunge na udiwani kupitia CHADEMA?
  kabla UDOM haijajengwa CHADEMA ilikuwa inapata kura ngapi mkoa wa DODOMA na mwaka uchaguzi huu CHADEMA imepata kura ngapi DODOMA?
  kata ya makulu ambapo chuo kikuu cha DODOMA kipo mbona ni ya CHADEMA?
  kwanini mtu ambaye ni mwana CCM na akijulikana akigombea uongozi katika serikali ya wanafunzi hapa UDOM hawezi kupata?
  hujui kwamba CCM hupenda kutumia propaganda kudanganya watu? hujui zile pesa zilitolewa na viongozi wa ccm wa dodoma akiwemo shabiby na kuleta magari ambayo yalichukua baadhi ya watu na kuwaandamanisha ili ionekane wana msapoti jmk (ni vigumu watu 20,000 wakosekane wenye akili kama ile)
  je! uliona mwana UDOM yeyote kagombea hata udiwani kwa tiketi ya CCM?
  je! unafahamu wana UDOM wangapi tulikuwa kwenye kampeni za CHADEMA na mawakala chukua mfano kitengo cha mawakala wa vyuo tuliokuwa UBUNGO kwa JOHN MNYIKA
  hujui taarifa za interijensia zilimwambia kikwete kuwa ndani ya UDOM hakuna mwenye uelekeo na CCM hivyo kikwete akashauri wanafunzi wasijihusishe na siasa?
  kama una akili umeelewa ila kama ni mjukuu wa makamba utakuwa hujaelewa kabisa
   
 14. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa kama yupo si bora hata ajiue kwa kuwa topical this much, king'ang'anizi km Kikwete!
   
 15. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,501
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  siamini kama ni wewe unayeandika habari hii yaani hujui kama chuo kimejengwa kwa jasho la baba yako na wewe mwenyewe sijui ndugu unamaana gani
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,907
  Trophy Points: 280
  repeated thread ..naifuta
   
 17. Patty B

  Patty B Member

  #17
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Gama..ukibishana na mpumbavu na wewe ni mpumbavu pia...kama kufahamu habari za UDOM basi unafahamu asilimia 00.1% tu kuhusu habari za chuo, so ungekaa kimya tu. Kila kitu twakijua, nje na ndani na kila kitu kinachoendelea. Hayo unayosema ni propaganda tu, ukiona msomi anagoma ujue amefikiria na anajua nini anachokifanya, kama uko nje ya taasisi hii endelea kusoma magazeti tu huko ndo yanakutosha kwa uelewa wako mdogo.
   
 18. KICHAKA

  KICHAKA Member

  #18
  Jan 31, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  NDUGU KILUMANATI hivi ulijiunga hapa JF kwa kazi ya Mlacha tu? Maana kila post ya Mlacha unaitoa wewe kisha unajijibu na ukitazama umekuja zama za juzi juzi kwa kazi hiyo tu. Kama unaitafuta hiyo post ungetulia kidogo maana mtoto wa Mkulima Pinda kaunda tume inafanya uchunguzi na kama Mlacha atakutwa ndiye tatizo basi kaa mkao wa kuchukua nafasi. Lakini mkumbuke nyie UDOM maana mlikuwa na kazi ya kukipigia debe CCM sasa mnakimbia matunda yake. Tulieni someni haiwezekani chuo kianze juzi juzi na hapo hapo kisimame. Roma haikujengwa kwa siku moja
   
 19. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #19
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dooh asante mwenyezi MUNGU maana mpaka sasa wachangiaji wamechangia bila kuhusisha dini....bila shaka MUNGU unasikia maombi ya watakatifu watu wameanza kubadilika ...thank you sana

  mix with yours
   
 20. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #20
  May 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  who is this guy?
   
Loading...