Shaaban Robert Class of '87

svc

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
429
157
Naomba ku-connect na wote waliosoma Shaaban Robert 1984 to 1987 enzi za Miss Koleth, Ramji, Ndomondo, Assenga, Joghia, Bichwa Korosho, na wengineo wengi kwenye kumbukumbu.

Nadhani mtakuwa mmo humu ndani. Big up wote tuliosoma sekondari in the '80's, which was a very unique and defining period kwa vizazi vyote hadi leo.
 
Hawapo hawakufika mbali au walishakufa maana vilaza huwa hawadumu , uwezo kujipanga kimaisha mdogo kwa hiyo Njaa name magonjwa vimewamaliza
 
Hawapo hawakufika mbali au walishakufa maana vilaza huwa hawadumu , uwezo kujipanga kimaisha mdogo kwa hiyo Njaa name magonjwa vimewamaliza

Ok. Acha hizo lakini.Hamna mtu aliyekulazimisha kuposti jibu kama si mlengwa. Unaweza kusoma tu na kuwaachia wengine wajibu kama haikuhusu, au sivyo?
 
Mkuu wengi wa classmates wako wanapiga box UK na USA. Kuna wawili nawafahamu wapo hapa Jijini Dar. Tatizo la kizazi hicho kwa wengi walioko nchini hawaingii ktk mitandao ya kijamii.
 
Naomba ku-connect na wote waliosoma Shaaban Robert 1984 to 1987 enzi za Miss Koleth, Ramji, Ndomondo, Assenga, Joghia, Bichwa Korosho, na wengineo wengi kwenye kumbukumbu.

Nadhani mtakuwa mmo humu ndani. Big up wote tuliosoma sekondari in the '80's, which was a very unique and defining period kwa vizazi vyote hadi leo.

Kwa kipindi mlichosoma bila shaka sasa sasa mmeshakuwa watu wazima, mna familia na wajukuu pia. Nna wasiwasi kweli mlikuwa vilaza sababu haiwezekani kwa umri huo bado ujiite papaa wemba na bado mwenzio bado unamkumbuka kwa jina la bichwa korosho yaani mtu mzima mwenzio bado unamkumbuka kwa jina la mzaha kiasi hicho?...
 
Walikuwa vilaza sana inaelekea alafu ni wazee kwa sasa.

Mkuu ni kweli wengi walikua vilaza lakini kwasababu wengi walikua wa Upanga,Oysterbay,Masaki,Ada Estate na Regent Mikocheni mambo yao siyo mabaya. Nawakumbuka kwasababu ya wengi wao kusoma nao Msingi na kuishi nao ktk mitaa hii. Nilisoma Tambaza 1984 - 1987!
 
Back
Top Bottom