Malalamiko dhidi ya Social Health Authority (SHA) yanaongezeka, hasa kwa wagonjwa wa saratani. In Mombasa County, hospitals say hakuna makubaliano wazi na Ministry of Health, forcing patients to miss or delay treatment.
Kwa walimu, hali ni mbaya zaidi: walimu watatu wamefariki kwa saratani, na mwalimu mmoja hawezi kupata huduma baada ya kuhamishwa kutoka Mwalimu Comprehensive Cover bima iliyokuwa inafanya kazi kwenda SHA.
This comes just weeks after the KSh 11 billion SHA scandal, where funds remain unaccounted for. Fedha hazionekani, lakini wananchi wanakufa.
Health is a right, not a gamble.
SHA lazima ifanye kazi sasa, kwa uwazi na uwajibikaji.