SGR: What really happened here?

Ndio maana ya maja
Naomba kujua wadau inasemekana kile kichwa cha treni ambacho kimeletwa nchini kwa majiribio kimepiga chini kama unavyoona kwenye picha hii siyo edet hii? View attachment 1092372
au hii picha siyo Tanzania?
Ndio maana ya kukifanyia majaribio, kama kimeanguka katika majaribio ina maana dhamira imekamilika, chanzo cha kuanguka kitatafutwa, kuboresha reli au kutafuta aina ya kichwa kinachofaa kwa aina hiyo ya reli. Hata hivyo, kichwa hicho mbona sio kipya, kiliwezaje kuletwa kwa ajili ya majaribio ilhali reli ni mpya!!
 
Kwahiyo kimepita reli ya zamani
Ndio.... Reli mpya ya SGR bado haijaanza kutumika ndio kwanza kipande cha Pugu hadi Dar es salaam daraja lake kutoka station kuu halijaisha na pale Vingunguti wametandika sehemu ndogo tu ya SGR ... ni reli ya zamani tu inayotumika kuanzia bandarini hadi Pugu na kuendelea. Hicho kilikuwa kimepakiwa kwenye behewa la wazi ... kwa kuwa upana wa kichwa hicho hauwezi kuenea kwenye mita gauge ya reli yetu ya kati.
 
Tatizo kubwa lililokuwepo sifa zime wajaa as if mali zao ama pesa zinatoka mifuko mwao
Zamani tulikuwa tunasikitika, na kuchukizwa tukiona mali ya umma ikiwa imeharibika, cha ajabu siku hizi watu wanashangilia bila ya kujua kwamba waliongia hasara ni wao. Wana saikolojia hebu tufahamisheni sababu za mabadilko haya ya tabia!!
 
Zamani tulikuwa tunasikitika, na kuchukizwa tukiona mali ya umma ikiwa imeharibika, cha ajabu siku hizi watu wanashangilia bila ya kujua kwamba waliongia hasara ni wao. Wana saikolojia hebu tufahamisheni sababu za mabadilko haya ya tabia!!
Mabadiliko hayo yameletwa na kuchochewa na ccm
 
Nilikuwa busy wadau ila nimekutana na huyu jamaa atapona kweli?



Namsikitikia huyu πŸ‘‡ mtanzania.

 
Wapi pameandikwa kuwa hiyo ni ajali mkuu?
Ndiyo maana ya majaribio, lengo ni kupata best product so hapo tayari wameshaona tatizo kabla hawajaenda mbali zaidi.
halafu nani kakwambia kuwa hiyo ni ajali iliyotokana na ubora duni wa hiyo reli?
 
ulikuwa wapi mkuu mbona hii picha ina mwezi sasa. na hii habar tumeisema had mate yametukauka πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„
 
Tatizo la watawala wetu kila kitu wanaingiza siasa, hii haraka haraka ya ujenzi inafanywa kuwahi uchaguzi, matokeo yake ndiyo haya.
Kama hujui uliza na si kukurupuka .Hicho ni kichwa cha treni kimenunuliwa na YAPI MERKEZ kwa ajili ya kufanyia majaribio wakati wa ujenzi huwa ni vizito sana na imara sana na vipo ndani ya gharama ya ujenzi.
 
HAPA MZEE JIWE ANAWASILIANA NA MALAIKA JIBRIR AMSHUSHIE UPANGA ALIEVUJISHA HII PIKITURE
 
Unaheeeeema, kama umekoswakoswa ugoni . Mleta mada wala hajasema yote haya, kaweka tu picha tayari mnaweweseka. Maendeleo hayana chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…