Naomba kujua wadau inasemekana kile kichwa cha treni ambacho kimeletwa nchini kwa majiribio kimepiga chini kama unavyoona kwenye picha hii siyo edet hii? View attachment 1092372
au hii picha siyo Tanzania?
!
!
Huyu Wa Selfie Kwa Kweli Rest In Peace I Advance.
Kuna Sheria Itakuwa Hivi Karibuni Kwamba Ni Marufuku Kupiga Picha Mali Ya Selikali Bila Kibali Cha Katibu Mkuu. Tusubiri Tu
Zamani tulikuwa tunasikitika, na kuchukizwa tukiona mali ya umma ikiwa imeharibika, cha ajabu siku hizi watu wanashangilia bila ya kujua kwamba waliongia hasara ni wao. Wana saikolojia hebu tufahamisheni sababu za mabadilko haya ya tabia!!