Hiyo 160 km/h itapatikana on average au zaidi. Bmw x3 inakwenda mpaka 260 km/h. Na kufikia 160 km/h kwa Bmw x3 ni kugusa tu ambapo SGR inachukua muda kidogo kufikia hiyo speed
Mkuu ushapanda SGR train? Haichujui muda kugusa 160kph. Umeme huo ni kusukuma throttle tu. Hio BMW tatizo ni barabara na mazingira yake. Wataishia nyuma ya Lori wakifanya mchezo.Hiyo 160 km/h itapatikana on average au zaidi. Bmw x3 inakwenda mpaka 260 km/h. Na kufikia 160 km/h kwa Bmw x3 ni kugusa tu ambapo SGR inachukua muda kidogo kufikia hiyo speed
Masaa 8 dodoma Dar kwa mkimbiaji??hapana mengi sana....Mimi sio mtu wa mashindano ila kama mtu Ana kibunda tubet,hayo masaa natoboa...Hahaha. Hapana mkuu. Akili kisoda hao. Labda ingekua straight line, ndio wangesema wajaribu ila ukiangalia matuta, foleni, trafiki, barabara mbovu, kona, hainamke sense.. ata ukijitahidi sana ukatumia 8 hours wewe umeendesha vibaya sana na risk ni kubwa sana..
Ulimiliki ya mwaka gani mkuu ya 2025 Tanzania zipo chache sana na pia ya 2025 diesel inanusa mkuu inatumia sana umeme ni kama Ford ranger tu..sema bmw za kitambo mafuta uwe na kisima nyumbani..Naijua vizuri sana. Ilichangia kunifilisi. Ikikuwashia taa nyekundu kwenye dashboard kama Christmas tree ndiyo utajua hujui mpaka uje kuzizima. Nilimiliki hiyo ndinga ndani ya miezi saba nikafilisika na kuiuza kwa bei ya hasara. Wanaozijua wengi hawanunui hata bei ushushe kiasi gani.
Ila kwa speed ni balaa aisee
Mkuu ya mwaka 2025 ntaiwezea wapi, hahaha huu utani sasa. Kweli mafuta na spare si mchezo, ni ghari sana. Hizi gari ni kwa wale ndani ana gari mbili au tatu za kuchagua. Nilinunua kama showoff tu.Ulimiliki ya mwaka gani mkuu ya 2025 Tanzania zipo chache sana na pia ya 2025 diesel inanusa mkuu inatumia sana umeme ni kama Ford ranger tu..sema bmw za kitambo mafuta uwe na kisima nyumbani..
Hiyo gari ya mwaka jana parts utaanza kununua baada ya miaka minne sio leo wala kesho sio gari za kuulizia vipuri hizi ikianza kuharibika parts zishakua za kumwaga..Mkuu ya mwaka 2025 ntaiwezea wapi, hahaha huu utani sasa. Kweli mafuta na spare si mchezo, ni ghari sana. Hizi gari ni kwa wale ndani ana gari mbili au tatu za kuchagua. Nilinunua kama showoff tu.
Tuwaachie wenye nguvu zao.Hiyo gari ya mwaka jana parts utaanza kununua baada ya miaka minne sio leo wala kesho sio gari za kuulizia vipuri hizi ikianza kuharibika parts zishakua za kumwaga..
Wewe huwa unatumia muda gani Dar Dodoma? Watu wanatumia muda mrefu kwasababu ya malori na ubovu wa barabara sasa hivi. Kutoka Moro kwenda Dodoma kuna mashimo mengi sana. Ukienda zaidi ya 100kph utapiga mashimo hadi akili ikukae sawa.Masaa 8 dodoma Dar kwa mkimbiaji??hapana mengi sana....Mimi sio mtu wa mashindano ila kama mtu Ana kibunda tubet,hayo masaa natoboa...
Sijawahi ku drive dar to dodoma but last month dar to arusha kama nakuna nazi...na Toyota crownWewe huwa unatumia muda gani Dar Dodoma? Watu wanatumia muda mrefu kwasababu ya malori na ubovu wa barabara sasa hivi. Kutoka Moro kwenda Dodoma kuna mashimo mengi sana. Ukienda zaidi ya 100kph utapiga mashimo hadi akili ikukae sawa.
Masaa 8 dodoma Dar kwa mkimbiaji??hapana mengi sana....Mimi sio mtu wa mashindano ila kama mtu Ana kibunda tubet,hayo masaa natoboa...
Simple; muda wa ligi barabara iwe tupu kama ilivyo kwa SGR hata kwa IST wanashin
IST inashindaje barabara zimeumuka kama maandazi?Simple; muda wa ligi barabara iwe tupu kama ilivyo kwa SGR hata kwa IST wanashinda.