SGR vs BMW x3 F25

Wakaanzie pale SGR station waondoke muda sawa kama hawajajikuta Kimara wakati train iko Dodoma.
 
Mada za weekend huwaga tamu sana.
 
160km/h hata dakika 10 huwezi. Labda truck na bus zote zipigwe ban siku hiyo.
 
Subiri tuone
 
Duuh
 
Umeongea vizuri
 
Nadhani hawajalewa shida ilipo. Km 450 inawezekana kwenda masaa 3 lakini swali linaendelea kubaki kwa Barabara zipi za bongo? Labda siku hiyo kila kitu kiwekwe pembeni. Na bado utakutana na tuta hautaweza kupita hata na 100km/ h.
Wanaokwenda Dodoma kwa masaa manne na gari ni wale wanaosafishiwa njia huku wakitumia LC200 na LC300 ambazo zina hali nzuri sana. Sio magari yenye miaka 10 plus yenye service za kuungaunga.
 
Ila mwana hiyo Bmw X3 siyo mchezo.
 
Hiyo 160 km/h itapatikana on average au zaidi. Bmw x3 inakwenda mpaka 260 km/h. Na kufikia 160 km/h kwa Bmw x3 ni kugusa tu ambapo SGR inachukua muda kidogo kufikia hiyo speed
 
Bmw X 3 ya 2025 ina balaa sana hiyo nyama..
Naijua vizuri sana. Ilichangia kunifilisi. Ikikuwashia taa nyekundu kwenye dashboard kama Christmas tree ndiyo utajua hujui mpaka uje kuzizima. Nilimiliki hiyo ndinga ndani ya miezi saba nikafilisika na kuiuza kwa bei ya hasara. Wanaozijua wengi hawanunui hata bei ushushe kiasi gani.
Ila kwa speed ni balaa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…