SGR vs BMW x3 F25

Foleni na kadhia nyingi tu barabrani ambazo zinafanya hayo madhindano kutokuwa na uharisia labda kama wana mambo yao mengine
Wanajaribu kuonesha kuwa pamoja na changamoto za barabara unaweza kufika Dodoma kabla ya treni. Sio mashindano ya mwendo kwasabbau inajulikana train ni 160kph na BMW inaweza kwenda hadi 240kph.
 
Mad Max haupo kwenye kamati ya hii ligi?
Hahaha. Hapana mkuu. Akili kisoda hao. Labda ingekua straight line, ndio wangesema wajaribu ila ukiangalia matuta, foleni, trafiki, barabara mbovu, kona, hainamke sense.. ata ukijitahidi sana ukatumia 8 hours wewe umeendesha vibaya sana na risk ni kubwa sana..
 
Uko sahihi kabisa bro
 
Nafuatilia Sana hii ligi , hawa jamaa wa East cars sio Tu wanandaa drug race pekeyake Hadi mashindano ya barabara za matope pia wanafanya.
Mara ya Kwanza walipanga kutoka muda mmoja na train nahisi waliona wataangukia pua.

Watu wengi wameuliza kuhusu barabara hii yenye foleni ya malori watakuwa wanafanyaje? Kwangu naona hii ligi ni just for fun
 
Gari itayotumika ni BMW X3 ,N55 six inline engine, turbocharged yenye eight speed transmission

Mwaka Jana waliandaa Audi SQ5 yenye supercharger kwangu Mimi hii mashine inaweza kabisa kupiga battle na SGR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…