PseudoDar186
Senior Member
- Mar 18, 2017
- 104
- 241
La hasha. Hiyo reli itakayoenda nchi nyingine kupitia Rwanda itakuwa siyo yetu tena. Sisi tutakula hizo charges za kusafirisha shehena hadi mpakani, baada ya hapo anakula Kagame. We might as well as transport 3.4 million tonnes on SGR directly rather than share it with Rwanda by bringing the SGR their way!Inaweza ikatoboa mpaka Congo kwahiyo usiangalie udogo wa nchi kijiografia na kutolea maamuzi.
Wewe umeangalia shehena kuelekea Rwanda, Burundi Uganda, DRC ni ndogo umetumia akili yako vizuri kujiuliza kwanini ni ndogo?
Sasa kuna watu wametumia akili zao vizuri kujiuliza kwanini ni ndogo na wakapata jibu kwamba shehena ya kutosha ipo lakini inaenda Kenya sababu a, b, c ndio maana wamekuja na solution ya SGR
Ulitaka wajenge kuelekea Zambia wakati TAZARA ipo? Huwezi linganisha rail ya TAZARA na Central corridor railway, hii ya Central ni takataka
Huenda kuna secret agreement between our leadersLa hasha. Hiyo reli itakayoenda nchi nyingine kupitia Rwanda itakuwa siyo yetu tena. Sisi tutakula hizo charges za kusafirisha shehena hadi mpakani, baada ya hapo anakula Kagame. We might as well as transport 3.4 million tonnes on SGR directly rather than share it with Rwanda by bringing the SGR their way!
Sasa unaipataje DRC Congo bila kupitia Rwanda/Burundi?Wanajukwaa,
Nimepitia takwimu kutoka the National Bureau of Statistics (NBS) na Tanzania Ports Authority (TPA) kuhusu mizigo / shehena yanayopitia bandari za Tanzania kwenda au kutoka nchi za jirani.
Kwa mwaka 2017/18, jumla ya tani 5.6 million zilipitia Tanzania (bandari ya Dar es Salaam pekee) kwenda au kutoka nchi za jirani, ikilinganishwa na tani 4.8 million mwaka 2016/17. Hili ni ongezeko la asilimia 17.1 na ni habari njema kabisa kwa TPA na nchi yetu kwa ujumla.
Ukiangalia mchanganuo wa shehena zinazoenda au kutoka nchi za jirani, asilima 61.1% ni za Zambia (36.6%) na J.D. Kongo (24.4%). Hii ni zaidi ya tani 3.4 million ambazo kwa asilimia kubwa zinawafikia jirani zetu kupitia barabara zetu hapa Tanzania. Ukipitia takwimu za 2017/18, TAZARA imefanikiwa kusafirisha mizigo ya tani 187,558 tu (3.4% ya 5.6 million) kwa njia ya reli.
Shehena za Rwanda ni asilimia 16.5% pekee (au tani 922,134) kwa mwaka wa 2017/18. Ukilinganisha na 2016/17, kuna upungufu wa 9.0% - kitu ambacho kinaashiria kuwa mizigo ya Rwanda inawezekana kuwa inapitia Kenya na Uganda.
Kwa kutumia akili za kawaida (common sense), kuna haja ya kuwekeza reli ya SGR kuunganisha Tanzania na Zambia na J.D. Kongo kwa sababu business case (volume of cargo) ni kubwa mno (kwa mara 3.7) kuliko Rwanda. Pia, tukiweza kuondoa hata tani 2 million barabani, TANROADS watapumua kidogo na matengenezo ya kila mara yanayotokana na uharibifu wa baraba zetu. Hii ni kwa mujibu ya data za NBS na TPA wenyewe.
Naomba mwenye taarifa kuhusu ya haya maamuzi ya kupeleka SGR Rwanda atujulishe zaidi.
Nawasilisha.
Meta Mada utakuwa ki desk officer kijinga kijinga cha serikali au kibaraka cha Zitto Kabwe. Wafanyabiashara wa Tanzania tunataka hiyo reli ya route ya Rwanda. Kuna fursa kibao kwa wafanyabiashara wa Tanzania kubwa mno
Wanajukwaa,
Nimepitia takwimu kutoka the National Bureau of Statistics (NBS) na Tanzania Ports Authority (TPA) kuhusu mizigo / shehena yanayopitia bandari za Tanzania kwenda au kutoka nchi za jirani.
Kwa mwaka 2017/18, jumla ya tani 5.6 million zilipitia Tanzania (bandari ya Dar es Salaam pekee) kwenda au kutoka nchi za jirani, ikilinganishwa na tani 4.8 million mwaka 2016/17. Hili ni ongezeko la asilimia 17.1 na ni habari njema kabisa kwa TPA na nchi yetu kwa ujumla.
Ukiangalia mchanganuo wa shehena zinazoenda au kutoka nchi za jirani, asilima 61.1% ni za Zambia (36.6%) na J.D. Kongo (24.4%). Hii ni zaidi ya tani 3.4 million ambazo kwa asilimia kubwa zinawafikia jirani zetu kupitia barabara zetu hapa Tanzania. Ukipitia takwimu za 2017/18, TAZARA imefanikiwa kusafirisha mizigo ya tani 187,558 tu (3.4% ya 5.6 million) kwa njia ya reli.
Shehena za Rwanda ni asilimia 16.5% pekee (au tani 922,134) kwa mwaka wa 2017/18. Ukilinganisha na 2016/17, kuna upungufu wa 9.0% - kitu ambacho kinaashiria kuwa mizigo ya Rwanda inawezekana kuwa inapitia Kenya na Uganda.
Kwa kutumia akili za kawaida (common sense), kuna haja ya kuwekeza reli ya SGR kuunganisha Tanzania na Zambia na J.D. Kongo kwa sababu business case (volume of cargo) ni kubwa mno (kwa mara 3.7) kuliko Rwanda. Pia, tukiweza kuondoa hata tani 2 million barabani, TANROADS watapumua kidogo na matengenezo ya kila mara yanayotokana na uharibifu wa baraba zetu. Hii ni kwa mujibu ya data za NBS na TPA wenyewe.
Naomba mwenye taarifa kuhusu ya haya maamuzi ya kupeleka SGR Rwanda atujulishe zaidi.
Nawasilisha.
Bandari ya Kigoma mkuu, acha ushamba kama wa baba yenuSasa unaipatake DRC Congo bila kupitia Rwanda/Burundi?
Kwani huko nchini Rwanda hawakai Binadamu / Watu ambao wanahitaji Huduma? Hivi Watanzania nchi ya Rwanda, Wanyarwanda na Rais wa Rwanda wamewakoseeni nini? Hivi Rwanda ndiyo imewafanya muwe Wavivu, Lege Lege, Goi Goi, Dhaifu Dhaifu na Watu mnaochelewa Kutwa kupiga hatua Madhubuti za Kimaendelo huku mkiwekeza mno katika Majungu, Chuki, Wivu na Uswahili wenu badala ya Kujikita kuangalia kwanini kwa muda mfupi tu huu Rwanda chini ya Rais Paul Kagame inawaacheni Kimaendeleo na hata Wananchi ( Raia ) wake wanazidi kuwa na ' Fikra ' pana kuliko wengi wenu ( japo wapo baadhi wenye Akili kubwa kama za Wanyarwanda ) ila ni wa kuwatafuta sana tena kwa Tochi?
Zambia watanzania tupo sana kuliko kenya, Rwanda, tupo tena sana, Kongo tupo Sana kuliko kenya.Kaa mbali na wafanyabiashara watanzania mjinga weweNchi yetu haijielewi yenyewe inataka shindana ma Kenya kuhusu soko la Rwanda na Uganda na kuacha Masoko makubwa ya Zambia
Huenda kuna secret agreement between our leaders
Rwanda amani iko ya uhakika route ya burundi noooooooo! Usalama zero !!! Iwe Kwa mizigo ya kwenda burundi,Rwanda au kongoBandari ya Kigoma mkuu, acha ushamba kama wa baba yenu