Ipo ila nafasi hamna!Treni ya saa kumi na mbili jioni ipo pia au
Panda ya saa tatu asubuhi. Fika pale saa mbili kamili hivi utapata tiketi. Jumatatu hadi jumatano haijai sana ila kuanzia alhamisi hadi jumapili ndio inabidi ukate tiketi siku kadhaa kabla.Saa tisa iyo inamaana
Kesho jioni zimebaki siti 4 tu nunua leo ukisubiri kesho asubuhi hupatiKwa kesho
Kwa kesho jioni kaka
Poa mkuuKesho jioni zimebaki siti 4 tu nunua leo ukisubiri kesho asubuhi hupatiView attachment 3130913