Nadhani Kazi ngumu na ya Muda mrefu ilikuwa ni kujenga Tuta. Japo muda huo hata mimi unanitisha ila kwakuwa wamesema wao wenyewe Wajenzi tusubiri kuona.
Yapi merkez yuko vizur anataka amalize Dar to moro haraka ili aende kuongeza nguvu kwa wenzao waliopo phase 2 ya moro to Dom..hii inaitwa kimbiza mwizi kimya kimya ukimpata mfanye unacho kitaka
Nadhani Kazi ngumu na ya Muda mrefu ilikuwa ni kujenga Tuta. Japo muda huo hata mimi unanitisha ila kwakuwa wamesema wao wenyewe Wajenzi tusubiri kuona.
Shabby tuko pamoja. Lakini kumbuka kuna ujenzi wa stations na upande wa daraja la dar nguzo zote bado hazijakamilika. Itabidi kweli waongeze msuli hasa