mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,502
- 257
i'm not conviced to believe kwamba anaweza kuweka 50m kwenye droo badara ya benki
Kaka unaongelea change ya soda!
Kuna kijana aliwahi kwenda kufanya maintainance ya computer kwenye ofisi ya Chenge wakati huo akiwa AG, ilikuwa asubuhi siku ya jumamosi, basi wakati kijana anendelea na kazi yake, Chenge aliiingia akiwa anahema akavuta droo alafu akapumua pumzi ndefu! Kumbe alikuwa amesahau hela zake ofisini na droo hakuwa amefunga zilikuwa kama 50million. That was six years ago. Imagine mtu kusahau 50m!
Acheni malumbano ya kiasi cha fedha alicho nacho hoja mezani ni tuhuma nzito alizo nazo na huku TAKUKURU wanasema hana kesi ya kujibu . Swali ni TAKUKURU walitaka nini kitokeee? Je, kesho tuwaamini kwa taarifa nyingine? Dr.Hosea ana nia gani na taifa hili?
Ni kweli hata kikwete keshamsafisha wakati akienda akaenda akaenda na jk wakati huo ndie aliyekuwa waziri....hadithi...hadithi.....!
hapo zamani za kale palitokea mtu mkuuubwaaaaaa......!
Basi akaenda akenda akaenda akaenda weeee mpaka akaenda......!
HIVI NIMEISHIA WAPI VILE......?