Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Namba basi!
Sina cm
Namba basi!
Sina cm
Mmh! I think utakuwa unaishi sayari ya mars
Hahahahahaha....mwambie akupe location ya uko sayari mars
mmmmmmmmmmmmmmmm,akaaa mie sie...
Uko bibi kasema nisijehuko kuna wahuni nibaki huku huku Chumbageni...unakataa sasa!...huyu wa sasa si kama yule tu!....tofauti huyu hali "ndizi!"..una balaa wewe!!..em jikoseshe njia upite hapa barabara ya 12 hapa!ntakuelekeza njia ya kwenu!
Uko bibi kasema nisijehuko kuna wahuni nibaki huku huku Chumbageni...
Akuuuu namuogopa mwaya akianza kusema hamalizi siunawajua wewe wazee wa Tanga hawana dogo ataniangaza dunia nzima itajua....du!...bibi anakaba hadi kivuli!?...cheza nae chandimu kama Makongoro na Ukawa!
Ushakuwa ujue!
Akuuuu namuogopa mwaya akianza kusema hamalizi siunawajua wewe wazee wa Tanga hawana dogo ataniangaza dunia nzima itajua....