DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Kabla ya kuoa au kuolewa, kuna haja ya kujua idadi ya wapenzi ambao mchumba wako alikuwa nao?
Ndo linakuaje mamiiMacho ya genye.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
ukikutana na mwanaume mwenye macho ya hivyo huwa mnajisikiajeMacho yenye mvuto wa kimapenzi
Man!! Umenikumbusha Arusha aicee hasa uliposema jina Seurii.Sexy eyes. Naikumbuka ngoma ya Whigfield. Back in 07/08 ndio nimeanza kwenda club, Colobus kijenge ya chini. Ilikuwa inapigwa mida flani late hivi, unakuta kina Seuri wametoka Ololo wako na kagugu zao na stimu za mbinyo, hatari.
Colobus ilikuwaga yechu ujana wetu.