Sexy eyes

Sexy eyes

Sexy eyes. Naikumbuka ngoma ya Whigfield. Back in 07/08 ndio nimeanza kwenda club, Colobus kijenge ya chini. Ilikuwa inapigwa mida flani late hivi, unakuta kina Seuri wametoka Ololo wako na kagugu zao na stimu za mbinyo, hatari.

Colobus ilikuwaga yechu ujana wetu.
 
hilo hapo mkuu

Kapicha kangependeza zaidi jameni ka hayo macho
jicho kengeza.jpg
 
Macho legevu utadhani umevuta wida, ni kama babalita wa la mujer demivida
 
Back
Top Bottom