"The routine was always the same. She'd call security and tell me to be in her room in 15 minutes and not to be late.
"When I got there she'd be naked. One time I walked in and she seemed to be pleasuring herself on the bed. She was running her hands over her body and had this look on her face like she was possessed.
"I think she thought I'd be sexually aroused and would do something with her. But I walked out. She hit on me and exposed herself more times than I can remember.
"I told my superiors about my concerns but they never took me seriously. In the end I had no choice but to quit."
That has got to be Brittney Spears ex bodyguard's complaint against her...
...Yap, :thumb:
Ni mume na baba wa watoto wawili.
Alikataa 'majaribu ya tunda' kulinda heshima na ndoa yake.
Currently, suing her $ 10millions for sexual Harassment.
Bingo hili linawezekana Bongo au 'Kibongo bongo?'
Utaaminika kwa kesi hii?
Kwa huko huko sawa
Ila kwa bongo2 inaweza kuwa ngumu kidogo kwanza namna ya kupata ushahidi wa hii kitu sidhani kama siye tuna uwezo huo kwa maana ya polisi,
Lakini pia hatujazoea kesi za hivi hapa itaaminika tu kuwa umeshamega tatizo mmekuja kutofautiana malipo ndo ukaamua kumlipua, so seriousness itapungua
Du kuna mijitu mijasili eti kulinda heshima ya ndoa yake, mimi ninge kula mzigo halafu ndi nijue kidai huo mpunga, kwa bongo mzigo wenyewe Britney lazima watu wajue nawe ni mtoto wa watu....Yap, :thumb:
Ni mume na baba wa watoto wawili.
Alikataa 'majaribu ya tunda' kulinda heshima na ndoa yake.
Currently, suing her $ 10millions for sexual Harassment.
Bingo hili linawezekana Bongo au 'Kibongo bongo?'
Utaaminika kwa kesi hii?
i salute the man.... i think less than 5% of men would pass that test...Yap, :thumb:
Ni mume na baba wa watoto wawili.
Alikataa 'majaribu ya tunda' kulinda heshima na ndoa yake.
Currently, suing her $ 10millions for sexual Harassment.
Bingo hili linawezekana Bongo au 'Kibongo bongo?'
Utaaminika kwa kesi hii?
i salute the man.... i think less than 5% of men would pass that test
hahaaaa... wapi bana, kuna za kufuga na za kukimbiza kalini huwezi bisha kwamba kwenye hilo sisi ni viumbe dhaifuha ha ha...
Mbona 'wengi tu tunaamini' kuku wa kienyeji ndio mtamu? yaani yule unayemfukuza nusu kilomita,
ikiwemo kujikwaa, ...unamchinja baada ya kumtolea kijasho na bado ukimla nyama yake ngumu inaweza kukutoa jino!...
Huyu 'kuku boi' ambaye hana tabu kuanzia kumkamata na kumchinja wala kumla hana mvuto!
hahaaaa... wapi bana, kuna za kufuga na za kukimbiza kalini huwezi bisha kwamba kwenye hilo sisi ni viumbe dhaifu