Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Usiwasikilize mwaya,kila kitu kitapingwa! Hebu njoo PM tuanze kutekenyana.Bwana eeh msipende kutuogopesha ogopesha
Huo ndo ukweli, na ukizoea utajikuta muda mwingi unatumia kuwaza hayo tuu, ukiwa na vijidakika tayr,,,,,,,,wengi fahamu zao zimeathiriwaBwana eeeeh msipende kutuogopesha ogopesha
Imeandikwa wapi kuwa ni dhambi?Huo ndo ukweli, na ukizoea utajikuta muda mwingi unatumia kuwaza hayo tuu, ukiwa na vijidakika tayr,,,,,,,,wengi fahamu zao zimeathiriwa
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Hamna lolote, yaani nyie walokole mnavimaisha vya upweke upweke na unafiki mwingi.
Mnaona fashion kusingizia kila starehe ni dhambi
Tatzo kwann kufanya mapnz kwa njia ya cm??? Yaaan iyo ni sawa na kumtamani mtu kimapnz ambapo ni dhambi kwasbb unakua tayr umekwisha zini nae moyoni...ebu tuambie aina Ya kuridhishana ambazo sio dhambi maana ukifanya sana dhambi,ukiacha umtendei haki mpenzi,ukimridhisha bila kuchepuka dhambi,ukichepuka dhambi,naisi hata kuandika message Ya hivi dhambi hii [emoji23][emoji23]
Du.....sex charts hawapati mimba.Bwana Yesu asifiwe!!!
Cku izi kumekuwepo na mapnz yanayofanyika kwa kupigiana simu au kutumiana Meseji.
Hilo jambo si sawa kabsa, lakn ndo limeshika chati sana kwa vijana na mabinti walio wengi.
Na imeonekana kama ni njia kuridhishana kwa wapenzi walio mbali.
STOP IT DON'T DO IT
Lakn pia c nzuri kuifanya hata kwa mkeo/mumeo eti kwasbb tuu amesafiri.
That is the Demonic network.
Ukimwangalia mwanamke kwa kumtamani, tayr umekwisha zini naeImeandikwa wapi kuwa ni dhambi?
..she is already mine sio wa mtu mwngne sasa hio tamaa ambayo ni dhambi vepee??Tatzo kwann kufanya mapnz kwa njia ya cm??? Yaaan iyo ni sawa na kumtamani mtu kimapnz ambapo ni dhambi kwasbb unakua tayr umekwisha zini nae moyoni.
Inaendana vipi na mada yako?Ukimwangalia mwanamke kwa kumtamani, tayr umekwisha zini nae
Sasa kama ni mme na mke udhambi wake upoje hapo?? Umeongea na hubby wako mpaka mkaanza vijilovie davie...mzuka ukipanda kuna dhambi gani hapoBwana Yesu asifiwe!!!
Cku izi kumekuwepo na mapnz yanayofanyika kwa kupigiana simu au kutumiana Meseji.
Hilo jambo si sawa kabsa, lakn ndo limeshika chati sana kwa vijana na mabinti walio wengi.
Na imeonekana kama ni njia kuridhishana kwa wapenzi walio mbali.
STOP IT DON'T DO IT
Lakn pia c nzuri kuifanya hata kwa mkeo/mumeo eti kwasbb tuu amesafiri.
That is the Demonic network.