Matatizo ya english media kwa watoto wadogo, siku moja mtoto alichukua paspoti ya mama yake na kuisoma akakuta; name:Anitha ,place:Moshi,Birth:1976,sex:F,Mtoto akamwita mama yake akamwambia mama"mama angalia sana baba asije akakuacha maana maana kwenye sex naona una "F".
kosa ni la anayemkaririsha pass mark za matokeo ya mtihani, so yeye popote atakapoona A, B, C, D, E, F anajua ni passmark, so by default kajua sex ni somo na mamake kafeli kwa kupata F