Sex Rehab...wapi?

Sex Rehab...wapi?

Kule kwetu tunaita wenye nyege za kitunguu saumu, zaidi ya maombi ya kutoa pepo la ngono. Kweli kuna tiba ya hii addiction, I mean some kind of Sex Rehab Center.

Akuu sio mimi kuna mtu anahitaji huu msaada.

Is just CASTRATION and CIRCUMCISION :dance::whoo:
 
Kule kwetu tunaita wenye nyege za kitunguu saumu, zaidi ya maombi ya kutoa pepo la ngono. Kweli kuna tiba ya hii addiction, I mean some kind of Sex Rehab Center.

Akuu sio mimi kuna mtu anahitaji huu msaada.
Makubwa haya, kama vp mpelekeni India/
 
MadameX hujambo wewe?Tafuta kuna tread moja nilileta humu MMU,titled SEX ADDICTION......IS IT REAL,watu walichangia vizuri labda inaweza kukupa moja au mbili za kumshauri huyo mtu.Otherwise wataalamu wanasema it is neither psychological nor medical condition,sasa ni nini wataalamu watuambie.
 
Hamna baya hapo ni adiction km zingne..mpira,movie,kunywa

Mwache apate kitu roho inapendeleaga mpk a-fade up mwnyw

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom