SEX in marriage. Kipi ni kipi?

Sio siri hapa nimecheka mpaka machozi lol.....wifi umepinda wewe eti kilimo kwanza ....daah..... you made my day for real.....

umeona vile wifi yajo penda wewe hadi anakuongezea siku za kuishi ......haya rudi home achana na Vin Diesel asipata maujiko lol
 
Last edited by a moderator:
Tofauti ya sex ya ndoani na sex zingine (naomba tu nizigroup kama zingine)
1. Sex ya ndoani ni goli 1 kwa wastani kwa makutano, wakati zingine ni tatu na kuendelea kwa makutano...
2. Ya ndoani mzuka unakolea wakati wa romance wakati zingine mzuka unakolea tangu ukiwa kwenye daladala kuelekea kwa mchazaji wmenza
3. Ya ndoani kwa zaidi ya 95% hufanyika usiku na asubuhi, zingine hufanyika mida yote, sana kuanzia jioni
4. Ya ndoani hufanyika kwa average ya 3-4 times kwa wiki, zingine hazina muda maalumu lakini kulingana na availability zinaweza kufanyika hata kila siku
5. Ya ndoani sanasana ni kifo cha mende na doggy, zingine mastaili kibao yatafanyika
6. Ya ndoani haitumii zana in most cases, zingine zana ni muhimu
 
Hakuna cha sumbawanga hapa .....ni mapenzi ya dhati tu wifi.....tena nahisi kakako ndie aliniendea sumbawanga manake niliwezaje kumkubali na ile sura ngumu vile?.......
Vin Diesel nisamehe sana my darling ile haikuwa akili yangu kabisa.....nakuahidi kuwa mtulivu daima![/QUOTE]
Vin Diesel huyu mdada amechungulia bank akaunti yako zikiisha atakuhama utulivu utausoma mwulize nitonye sura ngumu hukuona aliona pesa
 
Last edited by a moderator:
Tofauti ya sex ya ndoani na sex zingine (naomba tu nizigroup kama zingine)
1. Sex ya ndoani ni goli 1 kwa wastani kwa makutano, wakati zingine ni tatu na kuendelea kwa makutano...
2. Ya ndoani mzuka unakolea wakati wa romance wakati zingine mzuka unakolea tangu ukiwa kwenye daladala kuelekea kwa mchazaji wmenza
3. Ya ndoani kwa zaidi ya 95% hufanyika usiku na asubuhi, zingine hufanyika mida yote, sana kuanzia jioni
4. Ya ndoani hufanyika kwa average ya 3-4 times kwa wiki, zingine hazina muda maalumu lakini kulingana na availability zinaweza kufanyika hata kila siku
5. Ya ndoani sanasana ni kifo cha mende na doggy, zingine mastaili kibao yatafanyika
6. Ya ndoani haitumii zana in most cases, zingine zana ni muhimu

lol ..... Tuko una vituko khaaa!
 
Last edited by a moderator:
unatakiwa kwanza umsome mtarajiwa wako,je anapendelea mapigo ya ki bruce lee,au anapendelea soft game.
Wanaume wengi wanawapenda wanawake ambao ikifika wakati wa ku do wanakuwa kumpletely mad.hakuna kuremba kazi kwenda mbele.ukifanya hivyo utakuwa umemshika mume wako mtarajiwa kisawasawa.
 
Erotica hauishi kushangaza!kinachonifurahishaga kwako title za thread zako zote neno sex lazima liwepo!

back to the topic,ukweli ni kwamba wanaume wachache ni waelewa,ukianza kumpa mavitu ya ki-erotica in ecstasy mapema anaweza kudhani kapotea njia kaoa changu,hivyo nakushauri ili uwe upande salama,anza nae taratibuuuu kisha kila siku unaongeza mautundu

bahati uliyonayo umesema jamaa anatoka pande hizi za jf,so jamaa atakuwa anakujua mambo yako vinginevyo nendanae taratibu!kila la kheri,mkihitaji mc,nipo hapa,naweza nikawa chaguo bora kwa ajili ya harusi yenu!all the best
 
Erotica, we hujafundwa??? mbona hiyo ni chapter ya kwanza?
Haya mambo yanaendelea na kunoga hasa ukiwa ndani ya ndoa.
 
Erotica mydia, ingawa umesema hununui kwa bei yoyote, niko tayari kukukopesha, wanaume wengi kucheat ni jadi na nature inawaruhusu kwa kuwa wameumbwa kutokuridhika kwa kuwa wao wanaingiza, wanakoroga huku wakikijua wanachokitafuta humo bakulini. Asikudanganye mtu wengi wao wanatamani bakuli jipya kila kukicha as long as amelitumia hili la sasa mara mbili tatu na hajaona mpya yoyote. No wachache sana ambao wanarishika na hilo bakuli na hata wao ukichunbguza sana utakuta ni wale ambao mwenye bakuli huwa anabadilisha viungo, kama leo analitilia supu, basi kesho mchemsho, kesho kutwa makande, mchicha chukuchuku ili mradi bwana kila akilikumbuka hubaki kujiuliza sijui leo bakuli langu litakuwa na nini!

Tofauti na mwenye bakuli, as long as ukijua wapi pa kulisafisha, au supuye, mchemshowe waliwa vipi basi umemaliza kila kitu. Bakuli nyingi hazina makomplikesheni mengi as long as linaridhika kunywewa kwa kijiko au kuvuta kwa mdomo, umelikamata. Usiombe kukutwa, wakishagundua ile spot yako iko wapi am telling you atakuwa akihit hapo hapo tu hata kama ni within three secs.............ashajua akikukunja vije anaipata basi atakukunja hata kama huko tayari kukunjwa na wewe unajihesabu umeridhika na kifuani wamfukuza, huna varieties, sio yeye aisee anazo paths nyingi hadi afike unless ucremu zile za kubana, kukamua na kuachia of which bado utakuwa wajipunja wewe

Mbu usiisome hii ost tafadhali Soulmate wangu. Ipotezee
 
Back
Top Bottom