sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
my wifi sweetlady hebu fafanua hapo kwenye red kabla sijaprint kupeleka kwa braza
my wifi sweetlady hebu fafanua hapo kwenye red kabla sijaprint kupeleka kwa braza
ananibania huyu sijui kwa nini
Wifi Blaki Womani, siwezi kufafanua mbele ya kadamnasi kama vipi pita nyumbani jioni.....kwani wewe mara ya mwisho kumuona kaka yako ni lini?.....jibu uje nalo.
R.I.P braza wa Blaki Womani.....teh teh....
hahahaha Erotica una vituko sana..
Ngoja kwanza nicheki kisha nirudi kutoa mapwenti yangu..
Naomba summary ya mjadala jamani.
toka umempa limbwata hata mawifi walipigwa marufuku looooo au ndio Vin Diesel anahusika
R.I.P braza wa Blaki Womani.....teh teh....
FirstLady1, unamnyima usingizi Erotica...kila siku anakuja na story mpya. Leo ndio kidogo amebadili mwelekeo.
Limbwata liliisha zamani gani wifi.....afu lilivyoisha tu nikamfukuza nikarudi kwa mume wa ndoa Vin Diesel lol.
Hahahahaha.......sa hivi amerudi kijijini kwa aibu ya kuachwa lol.
sweetlady si ulisema kwa shida na raha au ilikuwa igizoHahahahaha.......sa hivi amerudi kijijini kwa aibu ya kuachwa lol.