Sex doesn't prove love

Sex doesn't prove love

Mkuu Alvin A. umeongea madini matupu kunywa kvant popote pale nitalipia

Kuna mdau kazusha swali hapo kwamba kwa nini tunaingia kwenye relationships kama sio sex

Naomba nijibu swali lake hapa na kukazia ulichokiongelea kwa wakati mmoja

Ni hivi tunaingia kwenye uhusiano kwa sababu mbali mbali kama companionship,kuanzisha familia,kupata sense of belonging na vitu vinavyoendana na hivyo

Sex ni part muhimu sana kwenye mahusiano ya kimahaba lakini haipaswi kuwa the main reason tunajiingiza kwenye mahusiano hayo, Sex ni kitu kinachoimarisha bond kati ya wanandoa inatumika kama faraja kati ya wanandoa,lakini ukichunguza vyema utagundua kuwa sex ina nafasi ndogo tu watu wawili wanapoamua kufunga ndoa na kuishi pamoja,hasa katika huu ulimwengu wetu wa sasa wenye pilika nyingi na ugumu wa uchumi kuzidi kuongezeka

hebu fikiria mama na baba wote wafanyakazi na hata akiwa mmoja pekee ndiye mfanyakazi,mna watoto,mna wagonjwa say baba au mama wa upande mmoja au wote ni wagonjwa tena wasiojiweza kitu wanahitaji uangalizi wa haswa,watoto wanasoma shule wanahitaji kutunzwa kufuatiliwa kwa ukaribu na mambo chungu nzima,unadhani katika hali kama hizi sex ina chukua nafasi kubwa kadri gani kwa wanandoa wanaopitia magumu kama haya? what if msingi wa wanandoa wanaoyapittia haya ulikuwa ni sex,unadhani katika hali kama hizi uhusiano wao utaboreshwa kwa sex? au ushirikiano thabiti kati ya hawa wenzi?

Mwisho nilivyokuelewa mkuu Alvin hukusema sex haina umuhimu,ila umetoa kama angalizo kwa watoto wa kike wanaotishiwa kuachwa na wapenzi wao kisa hawakutoa sex(something which is very good and very true and we should keep on emphasizing this to our growing girls maana ishakuwa janga) sex sio kipimo cha upendo,sex inakamilisha tu upendo baina ya wanandoa lakini kabla ya sex kuna mengi yanahusika na yanaweza kutumiwa kama kipimo cha upendo.

Hivyo watoto wa kike wasidanganyike na kujikuta wanatoa sex bila hata kutaka au tofauti na malengo au mipango yao,plus ukweli ni kwamba mwanaume yeyote yule anayependwa kweli kamwe hawezi kumlazimisha mpenzi wake afanya kitu ambacho hataki kwa wakati,ataelewa na atajali hisia za mwenzie,(the same applies na kwa wadada pia,wewe mkaka ukiona mpenzi wako anakulazimisha ufanye kitu tofauti na malengo yako,jua kabisa hupendi kimbia upesi)

so please watoto zetu wa kike,dada zetu,wadogo zetu wa kike jisimamieni msiruhusu mtumiwe miili yenu kwa sex kwa kigezo cha kwamba usipotoa sex humpendi,fanya sex kama tu umeridhia na sio kwa kutishwa.

True Love is understanding,
True Love can wait,
True Love doesn't pose excuses,
True Love doesn't need sex to be proved.
ADDITIONAL POINT

"True love doesn't cost anything"
 
mtoa maada unahatar kweli kweli.....maana hata sijakupata fresh unataka kutuonya nn!
Hivi tujiulize kwanza kwann mtu unaingia kwenye mahusiano ya kimapenz?? hapa mm najua asilimia kubwa watu wanaingia kwa sababu ya kupata nafasi rahisi ya kugegedeana lakini pia uzuri wa mtu au tabia vinamfanya MTU atamani kuwa naye karibu ili aweze kummiliki au kufanya mambo ambayo kwa mtu wa kawaida hawezi kufanya!!

hii sentesi ya mapenzi bila sex labda kwa wadada ndo wanaweza lakini kwa sisi wanaume sidhani kama kuna mwanaume anaweza akakaa na mpenzi wake karibu asimchakachue yaani mnalala pamoja mnaoga pamoja halafu hata hisia huna, labda utakuwa shoga!! mwanamke anaweza akaa kwenye mahusiano na wala asifikirie sana sex unless uanze kumchokoza na asilimia Kubwa wapo hivi...

Mwanaume ili aaajikikishie kuwa kweli anakumiliki lazima uvue chupi kwanza then ndo mengine yatafuata zaidi ya hapo mwanamke akileta ubishi basi kuchepuka ndo mpango mzima au kuachana naye kabisa..hii ndo uhalisia wenyewe.

Na mwanaume ili akukubali vizur lazima hiyo sex yenyewe uwe mtundu sio unakuwa kama sanamu au ndo Yale nimezoea kifo cha mende tu khaaa!! mwanamke lazima ushughulike na ww ukalie mchuma uzungushe kiuno mpaka mbo* iwe nyekunduuuuu!! mpaka mwanaume anasema eeeeh!!! hapa ndo penyewe...

kwa Leo inatoshaaa
Umemaliz uncle.
 
Aliyosema mleta mada yote ni kweli. Lakini baada ya kuingia ndoani kama hakuna sex hiyo ndoa ni batili. Ni kweli sex siyo mapenzi na sex kamwe isitumike kama catalyst ya kuoana/ndoa lakini ukweli unabaki pale pale hakuna ndoa bila sex. Ukimchukua binti akakuta bolo alifanyikazi kazi, ndoa inabatilishwa na ni ruksa binti kuondoka akaolewe na mtu mwingine.
 
We call it infatuation [emoji41]
Cheating is so good to get temporary lady for only sex while it can't consecutively match wife materially occurrence coz it needs more time to set strong friendship step by step/gradually without showing any sex signs, hence the nature of love is coming automatically between people, while sex is suddenly happening due to lustful elements.
 
Aliyosema mleta mada yote ni kweli. Lakini baada ya kuingia ndoani kama hakuna sex hiyo ndoa ni batili. Ni kweli sex siyo mapenzi na sex kamwe isitumike kama catalyst ya kuoana/ndoa lakini ukweli unabaki pale pale hakuna ndoa bila sex. Ukimchukua binti akakuta bolo alifanyikazi kazi, ndoa inabatilishwa na ni ruksa binti kuondoka akaolewe na mtu mwingine.
Ukiingia ndani sahau CHUPI
 
Back
Top Bottom