Sex doesn't prove love

Sex doesn't prove love

Mkuu Alvin A. umeongea madini matupu kunywa kvant popote pale nitalipia

Kuna mdau kazusha swali hapo kwamba kwa nini tunaingia kwenye relationships kama sio sex

Naomba nijibu swali lake hapa na kukazia ulichokiongelea kwa wakati mmoja

Ni hivi tunaingia kwenye uhusiano kwa sababu mbali mbali kama companionship,kuanzisha familia,kupata sense of belonging na vitu vinavyoendana na hivyo

Sex ni part muhimu sana kwenye mahusiano ya kimahaba lakini haipaswi kuwa the main reason tunajiingiza kwenye mahusiano hayo, Sex ni kitu kinachoimarisha bond kati ya wanandoa inatumika kama faraja kati ya wanandoa,lakini ukichunguza vyema utagundua kuwa sex ina nafasi ndogo tu watu wawili wanapoamua kufunga ndoa na kuishi pamoja,hasa katika huu ulimwengu wetu wa sasa wenye pilika nyingi na ugumu wa uchumi kuzidi kuongezeka

hebu fikiria mama na baba wote wafanyakazi na hata akiwa mmoja pekee ndiye mfanyakazi,mna watoto,mna wagonjwa say baba au mama wa upande mmoja au wote ni wagonjwa tena wasiojiweza kitu wanahitaji uangalizi wa haswa,watoto wanasoma shule wanahitaji kutunzwa kufuatiliwa kwa ukaribu na mambo chungu nzima,unadhani katika hali kama hizi sex ina chukua nafasi kubwa kadri gani kwa wanandoa wanaopitia magumu kama haya? what if msingi wa wanandoa wanaoyapittia haya ulikuwa ni sex,unadhani katika hali kama hizi uhusiano wao utaboreshwa kwa sex? au ushirikiano thabiti kati ya hawa wenzi?

Mwisho nilivyokuelewa mkuu Alvin hukusema sex haina umuhimu,ila umetoa kama angalizo kwa watoto wa kike wanaotishiwa kuachwa na wapenzi wao kisa hawakutoa sex(something which is very good and very true and we should keep on emphasizing this to our growing girls maana ishakuwa janga) sex sio kipimo cha upendo,sex inakamilisha tu upendo baina ya wanandoa lakini kabla ya sex kuna mengi yanahusika na yanaweza kutumiwa kama kipimo cha upendo.

Hivyo watoto wa kike wasidanganyike na kujikuta wanatoa sex bila hata kutaka au tofauti na malengo au mipango yao,plus ukweli ni kwamba mwanaume yeyote yule anayependwa kweli kamwe hawezi kumlazimisha mpenzi wake afanya kitu ambacho hataki kwa wakati,ataelewa na atajali hisia za mwenzie,(the same applies na kwa wadada pia,wewe mkaka ukiona mpenzi wako anakulazimisha ufanye kitu tofauti na malengo yako,jua kabisa hupendi kimbia upesi)

so please watoto zetu wa kike,dada zetu,wadogo zetu wa kike jisimamieni msiruhusu mtumiwe miili yenu kwa sex kwa kigezo cha kwamba usipotoa sex humpendi,fanya sex kama tu umeridhia na sio kwa kutishwa.

True Love is understanding,
True Love can wait,
True Love doesn't pose excuses,
True Love doesn't need sex to be proved.
 
Madini[emoji1476][emoji1476]

Cc@Kingsmann
 
mtoa maada unahatar kweli kweli.....maana hata sijakupata fresh unataka kutuonya nn!
Hivi tujiulize kwanza kwann mtu unaingia kwenye mahusiano ya kimapenz?? hapa mm najua asilimia kubwa watu wanaingia kwa sababu ya kupata nafasi rahisi ya kugegedeana lakini pia uzuri wa mtu au tabia vinamfanya MTU atamani kuwa naye karibu ili aweze kummiliki au kufanya mambo ambayo kwa mtu wa kawaida hawezi kufanya!!

hii sentesi ya mapenzi bila sex labda kwa wadada ndo wanaweza lakini kwa sisi wanaume sidhani kama kuna mwanaume anaweza akakaa na mpenzi wake karibu asimchakachue yaani mnalala pamoja mnaoga pamoja halafu hata hisia huna, labda utakuwa shoga!! mwanamke anaweza akaa kwenye mahusiano na wala asifikirie sana sex unless uanze kumchokoza na asilimia Kubwa wapo hivi...

Mwanaume ili aaajikikishie kuwa kweli anakumiliki lazima uvue chupi kwanza then ndo mengine yatafuata zaidi ya hapo mwanamke akileta ubishi basi kuchepuka ndo mpango mzima au kuachana naye kabisa..hii ndo uhalisia wenyewe.

Na mwanaume ili akukubali vizur lazima hiyo sex yenyewe uwe mtundu sio unakuwa kama sanamu au ndo Yale nimezoea kifo cha mende tu khaaa!! mwanamke lazima ushughulike na ww ukalie mchuma uzungushe kiuno mpaka mbo* iwe nyekunduuuuu!! mpaka mwanaume anasema eeeeh!!! hapa ndo penyewe...

kwa Leo inatoshaaa
Nakukumbusha tu waliotanguliza ngono kisha mapenzi ndiyo hawa tunaokutana nao hapa JF kila siku wakilia lia juu ya mahusiano kama waliofiwa ... [emoji125]
 
Pombe haijawahi kumwacha Mtu yeyote salama kabisa maana akishalewa ulevi ndiyo unaamua badala ya akili binafsi.
We jamaa bhana sio lazima ulale na kuoga na mpenzi wako mnakutana maeneo public ili kutoamsha tamaa za mwili,Remember sex ipo kichwani yaani ubongo wako unavyoutune ndio unavyokupelekesha. Mi naweza kukaa na rafiki wakike na nisimtafune kabisa,
ila K-VANT akinitembelea kichwa cha chini kinashika usukani 😀 😀 😀 you know what i mean
 
Sex sio mapenzi. Na mapenzi sio sex. Unaweza ukawa unafanya nae sex lakini akawa hana mapenzi na wewe. Kuwa na busara. Mtu anaweza akakuchukia na asikupende lakini akafanya sex na wewe.

Ni kujidanganya wewe mwenyewe kudhani kwamba kumpa sex kutamfanya akupende zaidi. Mapenzi ya kweli hayana nafasi katika kulazimisha sex. Mtu ambaye hakupendi huwezi kumlazimisha akupende kwa kumpa sex.

Kama akikwambia umpe sex ili ku-prove kwamba unampenda, asilimia kubwa mtu huyo anakutumia. Kama yupo kwako kwa ajili ya namna unavyompa sex vizuri, basi aliye vizuri zaidi atamchukua pia. Ni kama vile mwanamke aliye na mwanaume kwa ajili ya pesa zake!

Kujiweka katika nafasi ya kuwa mtumwa wake wa sex ni upumbavu. Anayekupenda kweli hatatumia udhaifu wa wewe kumpenda kuku-compromise kwa kutumia sex.

Na kama uhusiano wako umejengwa katika msingi wa sex basi ni vema zaidi ukafanya upembuzi yakinifu juu ya mahusiano hayo na kuyajenga katika misingi sahihi!

Na kama utafunga nae ndoa kwa misingi ya good sex, hii ni hatari kwa ndoa yako kwa sababu itafika kipindi hutaweza kumridhisha kama awali.

Funga nae ndoa kwa sababu amekupenda, amekuheshimu, anahisia na wewe, bond yenu ni kali na anataka ku-spend the REST OF HIS LIFE WITH YOU.
#reallove
#be_sweet
#SeeYouAtTheTop [emoji91][emoji91][emoji91]
#have_A_nice_weekend_guys
[emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321]
View attachment 1237045
Yaani full mchina at work here
 
"If sex doesn't prove love why cheating is an issue?"
Cheating is so good to get temporary lady for only sex while it can't consecutively match wife materially occurrence coz it needs more time to set strong friendship step by step/gradually without showing any sex signs, hence the nature of love is coming automatically between people, while sex is suddenly happening due to lustful elements.
 
Back
Top Bottom