verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,214
- 6,403
"If sex doesn't prove love why cheating is an issue?"
Kama kuna ukweli, so according to this perspective of yours unapenda upewe nini ili ndio iwe upendo?ILI nione unanipenda ni lazima unipe kile kitu ambacho
ukinipa unakua hauna kingine mpk utafute tena
sasa unanipa K halafu bado imegandiamo mwilini mwako
ndio umenipa au umeniambia ONJA???
WE nipe kitu ya kushika kwa mkono,sio unipe kitu haitoki mwilini mwako
Hata nije na majembe na ma greda.
Tamaa ya mwili (wanaume) na fedha (wanawake)Halafu mtu humjui undani wake hata kama mnaishi jirani kwa miaka mingi unawezaji kumlala bila kwenda kupima kwanza?!
Watu wamejikataa nafsi zao , wako tayari kujipoteza kwa tamaa ya muda mfupi!
Hivi kwa nini watu hawana kinyaa?!
Hivi kwanini watu hawahurumii watoto wao na wazazi wao?!
Mwenyezi Mungu atuhurumie!
Tatizo ni nini?!
chochote katika matendo yako unaweza nifanyia wemaKama kuna ukweli, so according to this perspective of yours unapenda upewe nini ili ndio iwe upendo?
isee kweli binadamu tumeumbwa tofauti lakini inamaana ww unaweza kukaa na mpenzi wako mwezi mzima usifanye sex?? binafsi siwezi unless awe mbali na mm lakini kama yupo karibu hiyo must beWe jamaa bhana sio lazima ulale na kuoga na mpenzi wako mnakutana maeneo public ili kutoamsha tamaa za mwili,Remember sex ipo kichwani yaani ubongo wako unavyoutune ndio unavyokupelekesha. Mi naweza kukaa na rafiki wakike na nisimtafune kabisa,
ila K-VANT akinitembelea kichwa cha chini kinashika usukani 😀 😀 😀 you know what i mean
"If sex doesn't prove love why cheating is an issue?"
How old are you now..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]You can love somebody, I mean real love not lust for sex or infatuation. Haven't you ever loved someone and you havent told her how you feel?? that is what we call love
shida inakuja kuna utofauti kati ya love na lust hapa ndo watu tunashindwa kuelewa......You can love somebody, I mean real love not lust for sex or infatuation. Haven't you ever loved someone and you havent told her how you feel?? that is what we call love